Muwa mtamu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 847
- 1,599
HII FAMILIA YA KIKWETE WALAFI SANA.
Kama kweli Magufuli alimfungia Ikulu kwa ajili ya kukwepa kodi alistahili

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una hakika haangaliwi leo kama mke wa Rais? Tuache kuwatukana watanzania. Anachotafuta ni kupata legal status ili impe milage!!! Nachojiuliza ni milage ya nini sasa? Tujifunze kula na kushiba. Binadamu wote wana midomo. Imagine wawe wanashinda njaa, halafu wachache ndio wanakula...kitatokea nini???Sijaona ubaya ya aliyoyasema, lakini sijui watu wamechukulia kwa mtazamo upi.
Kawaida mtu ukistaafu lazima ulipwe mafao yako.
Mfano Mama janeth alikuwa mwalimu lakini baada ya Magufuli kuwa raisi yeye anastaafishwa kazi. Sasa kwanini asilipwe mafao yake kama mwalimu.
Si yeye amejimaanisha bali hata hao wajao wengine watanufaika
Kweli. ndiko tunakoelekea. Wala hakua na ulazima kugombea ubunge. Wkt kuna waTz wanakufa kw kkosa hela za matibabu, za elimu ya watt na wajukuu wao na wengine hawana chakula, tunao wawaklishi wanatmia muda wetu kjipgia madebe bngeni.Itafikia hatua wataomba hadi wajukuu zao waandaliwe mazingira mazuri Babu zao wanapostaafu Urais
Sawa mkubwa!
Unajitia wasiwasi kwa hao akina mama wasiofika kumi?!!🤣
#Siempre JMT🙏
Blood suckers.HII FAMILIA YA KIKWETE WALAFI SANA.
Kama kweli Magufuli alimfungia Ikulu kwa ajili ya kukwepa kodi alistahili
Hii Nchi unaweza tamani ipinduliwe tu mkuu
Kwanza pensheni za rais mstaafu zipo kikatiba 80% ya mshahara wake lakini hachangii kama wafanyakazi wote serikalini. Mfanyakazi gani analipiwa pensheni ya mkewe akistaafu?Habari!
Hii taarifa imenipata nikaona niilete kama ilivyo.
My Take: Yani wanataka kila kitu serikali iwaandalie yani hadi Future yao kweli?
Mbunge wa Mchinga (CCM), Salma Kikwete ameishauri Serikali kutengeneza utaratibu ama sheria ya kuwahakikishia stahiki zao wake na wenza wa viongozi wa juu, akiwemo Rais, mara baada ya wenzi wao kuchaguliwa kushika nafasi hizo.
Mbunge huyo ambaye ni mke wa Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete ameyasema hayo leo Ijumaa Aprili 22,2022 Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia katika makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora mwaka 2022/2023.
Amesema wake wa viongozi akiwemo rais, makamu wa rais na Waziri Mkuu mara baada ya wenza wao kushika nafasi hizo wanatakiwa kustaafu na kuendelea na shughuli nyingine.
Amesema kitendo hicho kinamaanisha kuwa utaalamu wake unatoweka.
“Ukiwiwa sana unaweza kusema hebu nianzishe Ngo (mashirika yasiyo ya kiserikali) lakini hata ukianzisha hakuna mtu anayeku suport ni wewe mwenyewe uhangaike ili kuhakikisha unapata raslimali ili uweze kuendesha Ngo,”amesema.
Ameomba Serikali kutengeneza utaratibu wa kisheria ambao mke wa kiongozi anapomaliza muda wake ajue ni nini anachotakiwa kukifanya.
“Ni imani yangu mtatengeneza utaratibu ama sheria inayomuhusu mke wa Rais ama wenza nini bada ya hapo kiendelee kufanyika ni jambo muhimu sana na si kwangu bali ni kwa vizazi vijavyo kujua haki zao,”amesema.
Chanzo: MWANANCHI
Urais Tz ni kama ufalme!Habari!

Of course, unaweza kuona mwelekeo wao, wanapoenda, wanavyofikiria, entitlement mentality.Kuna siku Rais mstaafu anaelipiwa pensheni 80% ya mshahara wake, halafu mwenye wake wanne atalipiwa pensheni za wake zake 4? Kama ni hivyo kitakacho fuata ni watoto wao pia watavuna bila kupanda!
Wengine tulia tufe njaaa wenyewe kisa wake za Marais wapewe pension.Najiskia kucheka
Sawa mama tumekusikia, nyie peke yenu ndo mnastahiri maisha mazuri naona[emoji1787][emoji1787]
Unasikia alichokiomba hapo mkuu?Mama salama ana hojamani ya Msingi, mama Janet alikuwa mwalimu mama salma alikuwa mwalimu walistaafishwa kwa nguvu mafao yao inakuwaje?
Nimemsikia vizuri,Unasikia alichokiomba hapo mkuu?
Tutaichomeka gesi mkunduni kwako ili upate nishati bora itakayosaidia kuwasha taa kwenye makalio yako!Mkiwa na hiyo gesi yenu mtaiuza kwenye soko lenye kujitosheleza lililoko Kashozi ama Kanyigo ?!!! [emoji1787][emoji1787]
Awamu ya kula kwa urefu wa kamba. Viazi vimejaaa sana shambani ngoja niendelee kula tu.Habari!