mganji jr
Senior Member
- Sep 29, 2021
- 105
- 122
Wewe unaweza kuwa Nape, riz, junuar AU mwigulu ebu toeni ulafi na uroho wenu kwenye nchi Yetu.Yuko sahihi....
Kwani wake wa marais wanakuwa wangapi watuumize kiuchumi?!!!
#Siempre JMT[emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaweza kuwa Nape, riz, junuar AU mwigulu ebu toeni ulafi na uroho wenu kwenye nchi Yetu.Yuko sahihi....
Kwani wake wa marais wanakuwa wangapi watuumize kiuchumi?!!!
#Siempre JMT[emoji120]
Asicho kijua salma kikwete ni kwamba mke wa kiongozi yeye sio kiongoz na hastahili chochote cha kiuongozi zaid ya heshima tu tena na yenyewe sio lazima.CCM oyee! Mkiambiwa CCM ni majizi yanayoangalia matumbo yao huwa hamuelewi. Wanyongee endeleeni kuvalishwa khanga na kuchezeshwa michiriku wakati wa kampeni hayo ndio matokeo yake.
Badala ya kuangalia future ya taifa na ya kizazi hiki na vijavyo ukiwa ndani ya chumba cha kupigia kurua; endelea kukumbuka ulanzi, dengerua, mnazi, bia, ubwabwa sijui pilau ulilolishwa jana kwenye kampeni! Ujinga ni tatizo kuu la nchi hii! Unajiuliza mtu kama huyu alipenyapenyaje hadi kuingia mjengoni; ni sababu ya jina? Ana akili sana? Ujinga wa wapiga kura? Rushwa? Au?
... hii mentality sijui itaondokaje vichwani mwa wenye akili za aina hiyo.Asicho kijua salma kikwete ni kwamba mke wa kiongozi yeye sio kiongoz na hastahili chochote cha kiuongozi zaid ya heshima tu tena na yenyewe sio lazima.
..na unaibu waziri juu!Na bado ubunge tukampa, na mwanae muuza madawa nae tukamtunuku ubunge wa bure!
Hajizungumzii yeye ila hao wajaoHii familia yote ipo serikalini yaani tamaa zimewajaa kupita kiasi,hivi ukwasi alionao mama Salma sio wa kutolea macho pension ya Mwl.wa Primary.
Alichoongelea ni kuwa Serikali imtafutie kazi ingine ya kufanya mume akipata uraisi , umakamu au uwaziri mkuu na impe mafao ya u first lady!!!Ndo maana amezingumzia hayo maana hawalipwi hayo mafao yao na kisheria inatakiwa ulipwe pale unapostaafu kazi
Alichoongelea ni kuwa Serikali imtafutie kazi ingine ya kufanya mume akipata uraisi , umakamu au uwaziri mkuu na impe mafao ya u first lady!!!
Sheria za mafao kule unafanya kazi ziko wazi
Je Mwanachama wa Mfuko akiacha kazi anaweza kulipwa mafao ya kujitoa?
Hapana. Mwanachama wa PSSSF akiacha kazi kwa hiari yake hatapata mafao hadi atakapofikisha umri wa kustaafu kisheria Atashauriwa kuendeleza uchangiaji wake akiwa kwenye ajira nyingine. Kama akiwa ameachishwa kwa sababu nyingine yeyote bila hiari yake, Mfuko utamlipa mafao ya kukosa ajira kwa kipindi cha miezi 6, mafao hayo yatasita endapo atapata kazi kabla ya kuisha kwa miezi hiyo sita. lkipita miezi 18 baada ya kwisha kipindi cha kupata fao la kukosa ajira, mwanacharma anaweza kuomba michango yake kwenye mfuko kuhamishiwa kwenye Mfuko wa hiari. Michango itahamishwa baada ya kuondoa jumla ya fao la kukosa kazi. Fao la kukosa kazi litalipwa si zaidi ya mara tatu katika utumishi wote wa wanachama.
Nimekutumia link nadhani utamuelewaAlichoongelea ni kuwa Serikali imtafutie kazi ingine ya kufanya mume akipata uraisi , umakamu au uwaziri mkuu na impe mafao ya u first lady!!!
Sheria za mafao kule unafanya kazi ziko wazi
Je Mwanachama wa Mfuko akiacha kazi anaweza kulipwa mafao ya kujitoa?
Hapana. Mwanachama wa PSSSF akiacha kazi kwa hiari yake hatapata mafao hadi atakapofikisha umri wa kustaafu kisheria Atashauriwa kuendeleza uchangiaji wake akiwa kwenye ajira nyingine. Kama akiwa ameachishwa kwa sababu nyingine yeyote bila hiari yake, Mfuko utamlipa mafao ya kukosa ajira kwa kipindi cha miezi 6, mafao hayo yatasita endapo atapata kazi kabla ya kuisha kwa miezi hiyo sita. lkipita miezi 18 baada ya kwisha kipindi cha kupata fao la kukosa ajira, mwanacharma anaweza kuomba michango yake kwenye mfuko kuhamishiwa kwenye Mfuko wa hiari. Michango itahamishwa baada ya kuondoa jumla ya fao la kukosa kazi. Fao la kukosa kazi litalipwa si zaidi ya mara tatu katika utumishi wote wa wanachama.
Sasa nahisi umemuelewa nini ambacho alikuwa anamaanishaKupunguza bugudha mke au mume wa Raisi,makamu na Waziri mkuu waruhusiwe kuendelea na shughuli zao
Marekani Taratibu ziko hivyo .Mfano mke wa Raisi wa sasa Joe Biden ni Proffessor anaendelea kufundisha
Waume mazao wapunguziwe zile posho za wenza kupunguza bajeti
Basi kazi ndogo mume wa Samia aendelee na kazi zake na wake wa hao viongozi wa juu wengine waruhusiwe kuendelea na shughuli zao simpleSasa nahisi umemuelewa nini ambacho alikuwa anamaanisha
Sasa sheria inawataka wastaafishwe labda mkabadiliBasi kazi ndogo mume wa Samia aendelee na kazi zake na wake wa hao viongozi wa juu wengine waruhusiwe kuendelea na shughuli zao simple
Mtu ana wake wanne huwezi beba wote kila mmoja aendelee na shughuli zske
Mh... Kuna mengi nyuma ya pazia. Hata mzee wa Msoga zilikuwa haziiviani na mwendazake. Siasa za Bongo ni unafiki. Mambo mengi unayoyaona kwenye public ni tofauti kabisa na yanayofanyika background.Kama walikosana mbona alimpa ubunge ?..
Kubadili sheria rahisi tu kupitia hati ya dharuraSasa sheria inawataka wastaafishwe labda mkabadili
Nini kimempata mama Salma?Habari!
Hii taarifa imenipata nikaona niilete kama ilivyo.
My Take: Yani wanataka kila kitu serikali iwaandalie yani hadi Future yao kweli?
Mbunge wa Mchinga (CCM), Salma Kikwete ameishauri Serikali kutengeneza utaratibu ama sheria ya kuwahakikishia stahiki zao wake na wenza wa viongozi wa juu, akiwemo Rais, mara baada ya wenzi wao kuchaguliwa kushika nafasi hizo.
Mbunge huyo ambaye ni mke wa Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete ameyasema hayo leo Ijumaa Aprili 22,2022 Bungeni Jijini Dodoma wakati akichangia katika makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora mwaka 2022/2023.
Amesema wake wa viongozi akiwemo rais, makamu wa rais na Waziri Mkuu mara baada ya wenza wao kushika nafasi hizo wanatakiwa kustaafu na kuendelea na shughuli nyingine.
Amesema kitendo hicho kinamaanisha kuwa utaalamu wake unatoweka.
“Ukiwiwa sana unaweza kusema hebu nianzishe Ngo (mashirika yasiyo ya kiserikali) lakini hata ukianzisha hakuna mtu anayeku suport ni wewe mwenyewe uhangaike ili kuhakikisha unapata raslimali ili uweze kuendesha Ngo,”amesema.
Ameomba Serikali kutengeneza utaratibu wa kisheria ambao mke wa kiongozi anapomaliza muda wake ajue ni nini anachotakiwa kukifanya.
“Ni imani yangu mtatengeneza utaratibu ama sheria inayomuhusu mke wa Rais ama wenza nini bada ya hapo kiendelee kufanyika ni jambo muhimu sana na si kwangu bali ni kwa vizazi vijavyo kujua haki zao,”amesema.
Chanzo: MWANANCHI
Mama punguza mawazo yaliyojaa ubinafsi waangalie na wajane na wagane wengine, Mungu hapendi hivoHabari!

Anataka aachwe free akaendelee na mambo yake hataki kuchungwachungwa na mi body guard kila konaNini kimempata mama Salma?
Mume-Rais Mstaafu
Mtoto-Mbunge Chalinze
Yeye-Mbunge huko Mchinga
Anachotaka nini tena?