Nature, asili ya Watanzania ni utulivu. Kuiamini serikali yao.
Ila hii serikali ya sasa inajaribu sana kuvunja kila uaminifu, uadilifu, imani ya Wananchi juu ya serikali yao kwa kuwatenganisha watu kikabila, kidini, kikanda, kwa mazingaombwe, kisera na kiitikadi.
Tatizo hawana sera, imani, wala itikadi. Hawataki sera za JPM wakati huohuo ni weupe hawana sera, maono, vision, itikadi zao. Itikadi yao ni kula kwa urefu wa kamba zako, tia saini mikataba ya hovyo, sifia kila uchafu,kopa iba, weka watoto wa washikaji,ndugu, kanda, dini yako.
Watafanikiwa , mwisho wa siku watapata wanachokitafuta, ni kuivuruga amani, mshikamano wa Taifa.