peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kwenye utawala wa mume wako JK miaka 10 hii barabara mlikuwa wapi hamkuiweka lami? Sasa unakwenda kuwaomba kura Ili uwafanyie nini watu wa mchinga iwapo ulikaa miaka 10 ikulu Hali ya barabara iko namna hiyo?