Uchaguzi 2020 Salma Kikwete, Mama wa Taifa mstaafu kazini

Uchaguzi 2020 Salma Kikwete, Mama wa Taifa mstaafu kazini

Mhh!!
Hi picha mbona inaonekana kama anakimbizwa au "anasambizi"!!??
 
kuwatumikia wananchi ni sadaka, ni thawabu, huyu mama hana njaa akiwatumikia wananchi anawatumikia kwa moyo, sio akina mkosamali unaona kabisa dogo yuko apeche alolo
Nimekuuliza pesa alizofisadi na mumewe hazijamtosha?
 
Anawaektia watu wa sijui Lindi au ndio Mtwara kwani hilo jimbo miaka yote linaongozwa na mbunge kutoka chama gani?
 
sasa huko ikulu si alikuwa mke, angejengaje barabara? mbunge wa wakati ule ndio tumuulize
We umesema hana njaa atawatumikia watu vizuri,je alizochota na mume wake hazijamtosha? Inasadikiwa walihusika kwenye ufisadi mkubwa sana, Epa, kagoda n.k
 
..................Hii Land Cruiser Hardtop 2000 series imeshindwa kupanda hiko kilima hapo hadi huyu maza anakipanda kwa miguu?siasa bwana!

Si ajabu hapo kuna watu walikuwa wanamshangalia kwa makofi na vigelegele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wakiamua wana weza hongera ma salma kikwete bi mkubwa unakaza sana daah apo ma chalii wamelala home maza anawapambania.
 
Back
Top Bottom