peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Huyu mama akiwa anaongea aibu unapata wewe!Anaongea kama anafundisha watoto darasani!😁😁Hapana mbona poa tu Ila je ameiva kisiasa
Baba akiwa injinia, mama injinia na mtoto injinia utaita usultani??Huku ni kuendekeza siasa za kisulutani, mme wake alikuwa rais, mtoto mbunge, yeye anawania ubunge. Ina maana hakuna famailia ambao zina watu wanafaa kuongoza?
Nchi zingine watu wanaingia mitaani.
Acha kuleta mifano ya kipuuzi. Hii ni fani ya kusomea? Yaliyotokea misri yatakuja kutokea hapa Tanzania, furahieni upuuzi tu.Baba akiwa injinia, mama injinia na mtoto injinia utaita usultani??
kuwatumikia wananchi ni sadaka, ni thawabu, huyu mama hana njaa akiwatumikia wananchi anawatumikia kwa moyo, sio akina mkosamali unaona kabisa dogo yuko apeche aloloHuku ni kuendekeza siasa za kisulutani,mme wake alikuwa rais,mtoto mbunge, yeye anawania ubunge. Ina maana hakuna famailia ambao zina watu wanafaa kuongoza?
Nchi zingine watu wanaingia mitaani.
Hapo alipo nani atagusa biashara zake?Wanatafuta kibali cha kuendelea kutunza Mali zao
Alizoiba na mme wake kupitia ufisadi wa kila namna mbona hajaridhika nazo?Kenge wewe, huyu mama hana njaa anawatumikia wananchi kwa moyo, hatafuti kipato kama nyie
Amekaa ikulu miaka 10. Kwenye Hilo Jimbo la mchinga aliwafanyia nini? Ili leo wampatie ubungekuwatumikia wananchi ni sadaka, ni thawabu, huyu mama hana njaa akiwatumikia wananchi anawatumikia kwa moyo, sio akina mkosamali unaona kabisa dogo yuko apeche alolo