The Coin Man
JF-Expert Member
- Jan 2, 2025
- 1,471
- 1,879
Waislamu Wana matatizo sanaHakuna muislamu mwenye akili over
Hata ukitazama kwa jicho la 9 tanzania tumekwamisha kiuchumi.na maendeleo na waislamu kwa asilimia 90%

Hapana ila ninawajuwa baadhi ya wana Mchinga hapa mtaani kwetu, wanamlalamikia sana huyu Mama, wanadai kuwa hamna la maana alifanyalo.Kwani wewe ni Mwana Mchinga. Umesikia sehemu yoyote ile wana Mchinga wakipinga kauli hiyo. Mama Salma Kikwete ndio chaguo la wana Mchinga
Jibu sahihi hapa, fika mikoa iliyojawa na Waislam angalia hali halisi ya wananchi wake kisha rudi hapa. Ukishaona mtu anavaa na kushinda na shuka ya kulalia siku nzima huku hana kabisa wazo la kutafuta ama kufanya kazi basi juwa hapo kuna uwalakini tu.Waislamu Wana matatizo sana
Upo sahihiIkiwekwa tume huru ya uchaguzi salma kikwete apati ushindi ilo Jimbo.
Kwa Nani?Uwe na adabu na heshima.
Haahaa Yaani mapesa yaende kwa kikwete tu? Vipi familia zingine?Ndugu zangu Watanzania,
Huo ni ujumbe wa Mheshimiwa Salma Kikwete Mke Wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete. Ambapo amesema ya kuwa wana Mchinga wamemwambia ya kuwa Ubunge wa Mchinga ni mpaka achoke mwenyewe kuongoza.
Hii ikiwa na maana ya kuwa yeye ndiye mweny hati miliki ya jimbo hilo alilokabidhiwa na wananchi wenyewe. Kwa hiyo watia nia na mliokuwa na matamanio au malengo au dhamira ya kugombea jimbo hilo . Inapaswa mjipime kwanza na kupima kina cha Maji.
Mkumbuke mnakwenda kushindana na mzito na anayependwa ,kukubalika na kuungh wa mkono na wananchi wapiga kura. Endeleeni kumuunga mkono Mheshimiwa Mbunge Mama Salma Kikwete Firstlady wetu mstaafu. Mama machachari kwelikweli aliyeiva katika medani za kisiasa na Siasa.
Kwa kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalum chini ya Mbingu.View attachment 3384352yView attachment 3384353
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha Udini ndugu yanguWaislamu Wana matatizo sana
Hata hili unashabikia duhNdugu zangu Watanzania,

Ukweli ni kuwa Mama Salma Kikwete Hana MpinzaniHata hili unashabikia duh