Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Wale walafi wanaongelewa kwenye maandiko, mfano wake ndio huu sasa
Correct...mama mjinga sanaKutoka kuwa 1St lady hadi kuwa mgonga Meza, hata km ulafi wa madaraka,
Inashangaza kwa kweli. Lol
Ikiwekwa tume huru ya uchaguzi salma kikwete apati ushindi ilo Jimbo.Ndugu zangu Watanzania,
Huo ni ujumbe wa Mheshimiwa Salma Kikwete Mke Wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete. Ambapo amesema ya kuwa wana Mchinga wamemwambia ya kuwa Ubunge wa Mchinga ni mpaka achoke mwenyewe kuongoza.
Hii ikiwa na maana ya kuwa yeye ndiye mweny hati miliki ya jimbo hilo alilokabidhiwa na wananchi wenyewe. Kwa hiyo watia nia na mliokuwa na matamanio au malengo au dhamira ya kugombea jimbo hilo . Inapaswa mjipime kwanza na kupima kina cha Maji.
Mkumbuke mnakwenda kushindana na mzito na anayependwa ,kukubalika na kuungh wa mkono na wananchi wapiga kura. Endeleeni kumuunga mkono Mheshimiwa Mbunge Mama Salma Kikwete Firstlady wetu mstaafu. Mama machachari kwelikweli aliyeiva katika medani za kisiasa na Siasa.
Kwa kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalum chini ya Mbingu.View attachment 3384352yView attachment 3384353
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mama Kikwete hao wananchi wako uliongea nao lini?Ndugu zangu Watanzania,

Kwani wewe ni Mwana Mchinga. Umesikia sehemu yoyote ile wana Mchinga wakipinga kauli hiyo. Mama Salma Kikwete ndio chaguo la wana MchingaMama Kikwete hao wananchi wako uliongea nao lini?
Hata sasa tume ya Uchaguzi ni huru kabisaIkiwekwa tume huru ya uchaguzi salma kikwete apati ushindi ilo Jimbo.
Uwe na adabu na heshima.Correct...mama mjinga sana
Nimeamini we kweli unaliwa na hakika unaliwa kweliHata sasa tume ya Uchaguzi ni huru kabisa
Ni sawa kabisa Jimbo lake Lina mbuzi watupu kumbe lzm iwe hivyo.Ndugu zangu Watanzania,
Huo ni ujumbe wa Mheshimiwa Salma Kikwete Mke Wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete. Ambapo amesema ya kuwa wana Mchinga wamemwambia ya kuwa Ubunge wa Mchinga ni mpaka achoke mwenyewe kuongoza.
Hii ikiwa na maana ya kuwa yeye ndiye mweny hati miliki ya jimbo hilo alilokabidhiwa na wananchi wenyewe. Kwa hiyo watia nia na mliokuwa na matamanio au malengo au dhamira ya kugombea jimbo hilo . Inapaswa mjipime kwanza na kupima kina cha Maji.
Mkumbuke mnakwenda kushindana na mzito na anayependwa ,kukubalika na kuungh wa mkono na wananchi wapiga kura. Endeleeni kumuunga mkono Mheshimiwa Mbunge Mama Salma Kikwete Firstlady wetu mstaafu. Mama machachari kwelikweli aliyeiva katika medani za kisiasa na Siasa.
Kwa kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalum chini ya Mbingu.View attachment 3384352yView attachment 3384353
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hakuna muislamu mwenye akili overNdugu zangu Watanzania,

Unajiuliza au unaniuliza?Kwani sensa inafanyika kila baada ya miaka mingapi?
Muda wa uongozi si mhimu kama mtu hajachoka kichwani.Nakumbuka shangazi yako aliomba wake za marais walipwe mishahra pia kama waume zao huku akijua kuwa walipakodi nchi hii bado ni masikini.Je alikuwa ameongoza Taifa letu kwa Miaka mingapi?
Mungu akusamehe sana maana hujui ulitendaloNimeamini we kweli unaliwa na hakika unaliwa kweli
Nakupa onyo la muda mrefu vinginevyo nitakuumiza haswaHii ni mada kwa wenye akili Timamu na siyo machizi
Makopo unayobebelea kutwa nzima yasikupe kiburi na kujiaminiNakupa onyo la muda mrefu vinginevyo nitakuumiza haswa
Kama umeshindwa kuniheshimu mimi basi heshimu basi hata cheo changuMakopo unayobebelea kutwa nzima yasikupe kiburi na kujiamini
Say no for this👇Ndugu zangu Watanzania,
Huo ni ujumbe wa Mheshimiwa Salma Kikwete Mke Wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete. Ambapo amesema ya kuwa wana Mchinga wamemwambia ya kuwa Ubunge wa Mchinga ni mpaka achoke mwenyewe kuongoza.
Hii ikiwa na maana ya kuwa yeye ndiye mweny hati miliki ya jimbo hilo alilokabidhiwa na wananchi wenyewe. Kwa hiyo watia nia na mliokuwa na matamanio au malengo au dhamira ya kugombea jimbo hilo . Inapaswa mjipime kwanza na kupima kina cha Maji.
Mkumbuke mnakwenda kushindana na mzito na anayependwa ,kukubalika na kuungh wa mkono na wananchi wapiga kura. Endeleeni kumuunga mkono Mheshimiwa Mbunge Mama Salma Kikwete Firstlady wetu mstaafu. Mama machachari kwelikweli aliyeiva katika medani za kisiasa na Siasa.
Kwa kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalum chini ya Mbingu.View attachment 3384352yView attachment 3384353
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mi sikuonei huruma we waendelee kukula tu ni sawa kabisa mtu auna maana yoyote kama mwanaume ndio maana unaliwaMungu akusamehe sana maana hujui ulitendalo