PreGE2025 Salma Kikwete: Mchinga Wamesema Ubunge Mpaka Nichoke Mwenyewe

PreGE2025 Salma Kikwete: Mchinga Wamesema Ubunge Mpaka Nichoke Mwenyewe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
1:Amezuia ajira kwa mtu mwingine, wakati yeye anaendelea kufaidi masurufu ya mume wake, na pia ya "MWENZA WA RAIS"
2:Amepunguza mzunguko wa fedha, ambazo zingetumiwa kutoka kwa m'bunge mwingine tofauti na yeye, kwani yeye karibia kila kitu analipiwa na Serikali!
Nenda kagombee ushindane naye uone namna atakavyo kugaragaza kwenye sanduku la kura.
 
Huyu bungeni amekuja kupiga umbeya, hakuna analofanya....Elimu hana kama huyo mumewe. Eti hadi uchoke? Wananchi gani wamesema? Tupe ushahidi.......Kama ni kura halali utashindwa vibaya, lakini kwa vile mumeo yupo karibu na Samia, na kwamba yeye ndiye anayemuongoza Samia, yaani ni defacto President, ubunge utaupata bila shida.
Endelea kuweweseka na kupiga porojo zako wakati Mheshimiwa akiendelea kuchanja Mbuga katika Mioyo ya wapiga kura.
 
We lucas nyamaza huna akili.

Wacha wenye akili kina Nyani Ngabu waongee.

We kaa huko tuliza kishundu mbinuo. Utaongea ukiruhusiwa.
 
Wanamchimnga wamempa kibali na nafasi ya kudumu mpaka achoke mwenyewe kuwaongoza na kuomba kupumzika. Napo inaonyesha watamlazimisha aendelee kuwaongoza.
Mzee aliahidi shule, barabara, maji, hospitali na shule... Miaka 20 baadaye bado ahadi zile zile,, na tena wanampa wa kudumu... The United Republic of Misukule, naungana na yeye mama aendelee tu kula hakuna baya..
 
Kutoka kuwa 1St lady hadi kuwa mgonga Meza, hata km ulafi wa madaraka,
Inashangaza kwa kweli. Lol
Ameenda bungeni kupoteza muda, kachoka kukaa nyumbani.

Kushika chaki(ualimu) atapata tb.

Tumuache apoteze muda akishachoka atawaachia wengine.
 
Jibu swali acha ujinga wako hapa wewe

Anza wewe kujibu nilichookuliza
So ni sawa hata mkuchika kugombea newala

Ulianza na makonda, ukasifiaaaaaaa

Ukaja kafulila ukasifiaaaaaaaa

Now umeingia familia ya kikwete

Hahaha, ulianza na Ridhiwani Now umeamia kwa mama Salma 🤣
 
Mzee aliahidi shule, barabara, maji, hospitali na shule... Miaka 20 baadaye bado ahadi zile zile,, na tena wanampa wa kudumu... The United Republic of Misukule, naungana na yeye mama aendelee tu kula hakuna baya..
Kwani wewe hufahamu ya kuwa hata idadi ya watu inaongezeka kila mwaka? Kwa hiyo unataka matundu ya vyoo pamoja na vyumba vya madarasa vibakie vilevile wakati idadi ya wanafunzi inaongezeka kila mwaka?
 
Anza wewe kujibu nilichookuliza
So ni sawa hata mkuchika kugombea newala

Ulianza na makonda, ukasifiaaaaaaa

Ukaja kafulila ukasifiaaaaaaaa

Now umeingia familia ya kikwete

Hahaha, ulianza na Ridhiwani Now umeamia kwa mama Salma 🤣
Na wewe hamia kwangu kunipongeza kwa uchapakazi wangu katika kilimo.
 
Unafikiri hata Machizi wanakuwa Maraisi 😀😀
Ila sitokuacha , kuna kazi nyingi za bustani pale Ikulu, nitakuafanya uwe Mnilikulu ,kwa maana ikulu zote zitakua chini yako hapo vipi ,ila ukileta uchawa kwangu nakufukuza ndani ya masaa 3
 
Back
Top Bottom