Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #21
Kuwatumikia watanzania wanyongeHuyu mama kipi anafuta ambacho hana?
Kuwatumikia watanzania wanyongeHuyu mama kipi anafuta ambacho hana?
Mwaka 2020 yule aliyetaka kugombea jimbo la Majaliwa alishikwa na kuwekwa gerezani, hukumbuki wewe chawa mkuu? Fungua makabrasha. Hata wakishindanishwa hawawezi kukubali debate ya kujieleza kwa ufanisi, kwani hawana uwezo, kwa hiyo ni kuteuana na rushwa tu. Weka open kila kitu kila mtu agombee na washindanishwe kwenye debate, kisiasa, kiuchumi na kijamii!!!!!!!!!!!!Nenda ukagombee . Hakuna atakaye kuteka
Ungeacha wenye akili Timamu wajadili hojaJitahidi hii familia ya Kikwete uwazalie mtoto maana siyo kwa kujikomba huku.
Nenda ukagombeeMwaka 2020 yule aliyetaka kugombea jimbo la Majaliwa alishikwa na kuwekwa gerezani, hukumbuki wewe chawa mkuu? Fungua makabrasha. Hata wakishindanishwa hawawezi kukubali debate ya kujieleza kwa ufanisi, kwani hawana uwezo, kwa hiyo ni kuteuana na rushwa tu. Weka open kila kitu kila mtu agombee na washindanishwe kwenye debate, kisiasa, kiuchumi na kijamii!!!!!!!!!!!!
Tusiandikie mate.Hakuna kitu kama hicho.
Cha matamaa we mama. Mnapata pension kupitia Kodi zetu. Bado unahangaika kukaba wengine wasipate!! Kaa nyumbani ulee wajukuu. Tunajua pesa mnazo.Ndugu zangu Watanzania,
Huo ni ujumbe wa Mheshimiwa Salma Kikwete Mke Wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete. Ambapo amesema ya kuwa wana Mchinga wamemwambia ya kuwa Ubunge wa Mchinga ni mpaka achoke mwenyewe kuongoza.
Hii ikiwa na maana ya kuwa yeye ndiye mweny hati miliki ya jimbo hilo alilokabidhiwa na wananchi wenyewe. Kwa hiyo watia nia na mliokuwa na matamanio au malengo au dhamira ya kugombea jimbo hilo . Inapaswa mjipime kwanza na kupima kina cha Maji.
Mkumbuke mnakwenda kushindana na mzito na anayependwa ,kukubalika na kuungh wa mkono na wananchi wapiga kura. Endeleeni kumuunga mkono Mheshimiwa Mbunge Mama Salma Kikwete Firstlady wetu mstaafu. Mama machachari kwelikweli aliyeiva katika medani za kisiasa na Siasa.
Kwa kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalum chini ya Mbingu.View attachment 3384352yView attachment 3384353
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Uongoo.Wananchi wanamtaka aendelee kuwatumikia na ndio waliomuomba.
Wewe boya kweli kila siku kusifia sifia watu unafikiri ndiyo utaondokana na umasiki wako wa akili na mali, bwege wewe.Ungeacha wenye akili Timamu wajadili hoja
Huna akili pumbavu.Kuwatumikia watanzania wanyonge
Kazi yangu ni kilimo.Kufanya kazi unayofanya lazima nilipwe dau kubwa sana. Kila ra kheri chawa
Na wewe omba mume wako aje awe Rais.Huna akili pumbavu.
Huyu kawa Mke wa rais, mpaka sasa anapokea mamilioni kama aliekua mke wa kiongozi na bado mme wake ambae ni rais mstahafu anatunzwa na kodi za wananchi kwa mamilioni ya fedha .
Mtoto wao ni waziri , ila mama mwenyewe ni Mbunge tena. Wewe upo huko hata watoto wako hujui wataishi vipi baada ya uchawa kukamilika
Unatetea upumbavu gani hapa, kama nisemacho ni uhongo nipeleke mahakani.
Hivi hupo na akili kweli mkuu
Wananchi bado wanamhitaji sana kuendelea kuwatumikia.Huyu Mwalimu wangu wa shule ya msingi apumzike
Ova
Kunywa dawa kwanza.Wewe boya kweli kila siku kusifia sifia watu unafikiri ndiyo utaondokana na umasiki wako wa akili na mali, bwege wewe.
Kwani Hiraly Clinton Mke wa Bill Clinton alikuwa ni Nani baada ya mume wake Kumaliza muda wake madarakaniHii familia ndo mara ya kwanza first lady wa Rais anakua Mbunge Tanzania
Unaudhalilisha sana ukoo wenu kwa huu upumbavu unaofanya utafikiri huna wazazi, hata sijui wanajifikiriaje kuzaa na kulea tutusa kama wewe .Kunywa dawa kwanza.