Hakuna mkulima mpumbavu kama wewe, wewe kula yako inategemea kujipendekeza kwa wenye nazo wakutupie makombo kama mbwakoko tu.Kazi yangu ni kilimo.
Endelea na doziUnaudhalilisha sana ukoo wenu kwa huu upumbavu unaofanya utafikiri huna wazazi, hata sijui wanajifikiriaje kuzaa na kulea tutusa kama wewe .
Wakati mume wake ni Rais alishindwa nini kumshawishi awape maendeleo hao ndugu zake!? Alishindwa kuwapa maendeleo akiwa "LIVE" First lady aje awape leo akiwa Mbunge?Tuanze kazi ya kuwaamsha wananchi wa Mchinga
Wewe bora uolewe kwenye hiyo familia ya Kikwete.Endelea na dozi
Ni tamaa tupuWakati mume wake ni Rais alishindwa nini kumshawishi awape maendeleo hao ndugu zake!? Alishindwa kuwapa maendeleo akiwa "LIVE" First lady aje awape leo akiwa Mbunge?
Yaani hiyo familia tatizo😬Kutoka kuwa 1St lady hadi kuwa mgonga Meza, hata km ulafi wa madaraka,
Inashangaza kwa kweli. Lol
Na vitengeHadi uchaguzi uishe utakua umezawadiwa baiskeli hata 15
Ana tamaa kama ya chawa Lucas MwashambwaHuyu mama anatamaa kupita kiasi hafai kwenye jamii
Huyu bungeni amekuja kupiga umbeya, hakuna analofanya....Elimu hana kama huyo mumewe. Eti hadi uchoke? Wananchi gani wamesema? Tupe ushahidi.......Kama ni kura halali utashindwa vibaya, lakini kwa vile mumeo yupo karibu na Samia, na kwamba yeye ndiye anayemuongoza Samia, yaani ni defacto President, ubunge utaupata bila shida.Ndugu zangu Watanzania,
Huo ni ujumbe wa Mheshimiwa Salma Kikwete Mke Wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete. Ambapo amesema ya kuwa wana Mchinga wamemwambia ya kuwa Ubunge wa Mchinga ni mpaka achoke mwenyewe kuongoza.
Hii ikiwa na maana ya kuwa yeye ndiye mweny hati miliki ya jimbo hilo alilokabidhiwa na wananchi wenyewe. Kwa hiyo watia nia na mliokuwa na matamanio au malengo au dhamira ya kugombea jimbo hilo . Inapaswa mjipime kwanza na kupima kina cha Maji.
Mkumbuke mnakwenda kushindana na mzito na anayependwa ,kukubalika na kuungh wa mkono na wananchi wapiga kura. Endeleeni kumuunga mkono Mheshimiwa Mbunge Mama Salma Kikwete Firstlady wetu mstaafu. Mama machachari kwelikweli aliyeiva katika medani za kisiasa na Siasa.
Kwa kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalum chini ya Mbingu.View attachment 3384352yView attachment 3384353
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
1:Amezuia ajira kwa mtu mwingine, wakati yeye anaendelea kufaidi masurufu ya mume wake, na pia ya "MWENZA WA RAIS"Huyu mama anatamaa kupita kiasi hafai kwenye jamii
Nitakua Rais mwenyewe alafu nikuone uchawa wako utaupeka wapiNa wewe omba mume wako aje awe Rais.
Ndugu zangu Watanzania,
Huo ni ujumbe wa Mheshimiwa Salma Kikwete Mke Wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete. Ambapo amesema ya kuwa wana Mchinga wamemwambia ya kuwa Ubunge wa Mchinga ni mpaka achoke mwenyewe kuongoza.
Hii ikiwa na maana ya kuwa yeye ndiye mweny hati miliki ya jimbo hilo alilokabidhiwa na wananchi wenyewe. Kwa hiyo watia nia na mliokuwa na matamanio au malengo au dhamira ya kugombea jimbo hilo . Inapaswa mjipime kwanza na kupima kina cha Maji.
Mkumbuke mnakwenda kushindana na mzito na anayependwa ,kukubalika na kuungh wa mkono na wananchi wapiga kura. Endeleeni kumuunga mkono Mheshimiwa Mbunge Mama Salma Kikwete Firstlady wetu mstaafu. Mama machachari kwelikweli aliyeiva katika medani za kisiasa na Siasa.
Kwa kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalum chini ya Mbingu.View attachment 3384352yView attachment 3384353
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wanamchimnga wamempa kibali na nafasi ya kudumu mpaka achoke mwenyewe kuwaongoza na kuomba kupumzika. Napo inaonyesha watamlazimisha aendelee kuwaongoza.Kusaidia watu si lazima uwe mbunge,,, tuendelee na ushabiki..
Kuongoza na uongozi ni akili na siyo umri. Ni suala la hekima ,busara ,maono , uzalendo, uchapakazi na ubunifu.uongozi siyo kubeba nzege au kunyanyua vyuma.Na wewe ndugu yangu unashabikia, mtu ambae ashakuwa first Lady miaka kumi anakuwa mbunge wa jimbo maskini
Hana nguvu tena ya mwili wala akili,
Ashakuwa mtu mzima,
Ndio maana majimbo ya kusini ni maskini sana
Unafikiri hata Machizi wanakuwa Maraisi 😀😀Nitakua Rais mwenyewe alafu nikuone uchawa wako utaupeka wapi