PreGE2025 Salma Kikwete: Mchinga Wamesema Ubunge Mpaka Nichoke Mwenyewe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwani wewe ni Mwana Mchinga. Umesikia sehemu yoyote ile wana Mchinga wakipinga kauli hiyo. Mama Salma Kikwete ndio chaguo la wana Mchinga
Hapana ila ninawajuwa baadhi ya wana Mchinga hapa mtaani kwetu, wanamlalamikia sana huyu Mama, wanadai kuwa hamna la maana alifanyalo.
 
Haahaa Yaani mapesa yaende kwa kikwete tu? Vipi familia zingine?
 
Tunaomba kujua hali ya maisha ya watu wa Mchinga.
 
Hata hili unashabikia duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…