Kufuata historia, je? Ni Wamaasai wameingilia hifadhi ya wanyama au wanyama waliwakuta Wamaasai pale?Wamasai wanalo...!!
Naanza kuamini kuwa hili sakata la Ngorongoro lina yaliyojificha nyuma ya pazia.Kufuata jistoria, je? Ni Wamaasai wameingilia hifadhi ya wanyama au wanyama waliwakuta Wamaasai pale?
Mbona hili jambo limeshikiliwa kidedea leo?
Hapa kuna siri kubwa. Kama kipindi cha mtawala fulani walijenga kwenye njia ya Tembo!! Kwanini tusiamini hata sasa kuna mtawala ana taka eneo???
Kuna wajanja wananufaika na uwepo wa wamasai
Daaaah ndo wabunge tulionao bungenii kwakuwa hili jambo halimgusi yeye walaaa jamiii yake moja kwa moja atasema watolewe hata kwa mtutuuuu sasaa ila lingekuwa linamgusa yy asingesema ivooooMbunge wa viti maalumu, Salome Makamba ameitaka Serikali itumie magari ya Washawasha kuwaondoa Wamasai huko Ngorongoro badala ya kuyatumia kudhibiti Wapinzani.
Makamba amesema yeye ni balozi wa tembo hivyo anaelewa kinachoendelea hifadhini Ngorongoro kiukweli mbuga inaangamia kwa ukorofi wa Wamasai na matajiri kutoka Arusha na nchi jirani.
Mbunge huyo amekuwa wa pili kuitaka serikali itumie nguvu kuondoa Wamasai baada ya yule wa Mtwara mjini kutaka Vifaru vya Jeshi vitumike kuwaondoa.
Chanzo: TBC 2
Maendeleo hayana vyama!
Wamasai wamewakosea nini?Mbunge wa viti maalumu, Salome Makamba ameitaka Serikali itumie magari ya Washawasha kuwaondoa Wamasai huko Ngorongoro badala ya kuyatumia kudhibiti Wapinzani.
Makamba amesema yeye ni balozi wa tembo hivyo anaelewa kinachoendelea hifadhini Ngorongoro kiukweli mbuga inaangamia kwa ukorofi wa Wamasai na matajiri kutoka Arusha na nchi jirani.
Mbunge huyo amekuwa wa pili kuitaka serikali itumie nguvu kuondoa Wamasai baada ya yule wa Mtwara mjini kutaka Vifaru vya Jeshi vitumike kuwaondoa.
Chanzo: TBC 2
Maendeleo hayana vyama!
Posho mkuuHuyu amekosa Busara..., mara zote hususan katika jambo ambalo wananchi wenyewe ndio walinzi sio vema kutumia mabavu..., cha maana ni kutoa knowledge ili waelewe wenyewe wataondoka na kulinda wenzao zaidi wasichafue....
Let them know manufaa ya hio hifadhi na wafanye wawe wanufaika wa hio hifadhi (sasa kama faida yote wanakula wachache unategemea nini)?
Kuliko gharama za kupeleka magari wawatafutie sehemu bora zaidi kuliko hio (win win for all)
Yaan wanasiasa!Mbunge wa viti maalumu, Salome Makamba ameitaka Serikali itumie magari ya Washawasha kuwaondoa Wamasai huko Ngorongoro badala ya kuyatumia kudhibiti Wapinzani.
Makamba amesema yeye ni balozi wa tembo hivyo anaelewa kinachoendelea hifadhini Ngorongoro kiukweli mbuga inaangamia kwa ukorofi wa Wamasai na matajiri kutoka Arusha na nchi jirani.
Mbunge huyo amekuwa wa pili kuitaka serikali itumie nguvu kuondoa Wamasai baada ya yule wa Mtwara mjini kutaka Vifaru vya Jeshi vitumike kuwaondoa.
Chanzo: TBC 2
Maendeleo hayana vyama!
Hao wabunge ni waathirika wa malezi ya nguvu na ubabe utotoni so hawawezi kuwa na maamuzi ya busaraKwani hawawezi kutumia utaratibu wa kistaarabu kuwaamisha au akili yake imegotea hapo
Mmaasai akakae ghorofani😁😆 na MBUSI inakaa wapi?Ngorongoro imezalisha mabilioni ya fedha kwenye uchumi wa nchi; wamasai wakiwa sehemu ya vivutio vya utalii. Badala ya matumizi ya nguvu, serikali iwape motisha ili wahame kwa hiari. Kwa mfano, serikali ijenge flats maeneo fulani kama zile za JWTZ zilizojengwa maeneo mbalimbali nje ya miji then wahusika wahamishiwe huko. Mbona vijiji vya ujamaa enzi za Nyerere na Kawawa (Simba wa Vita) iliwezekana?
Atakayegoma kuhama huyo sasa atakuwa na jambo lake na haitakii mema nchi yetu hapo sasa nguvu inaweza kutumika. Ila kuwafukuza bila kuwaandalia makazi ni kuwaonea; ni unyanyasaji wala sio haki hata kidogo!
Kuna wajanja watanufaika ikiwa wamasai wataondolewa Ngorongoro...Kuna watu wanaplan kwenda kujenga mahoteli yao pale kwa kuwa ni ngumu mmsai kuuza kipande Cha ardhi yao ya urithi kutoka kwa mababu zao.Kuna wajanja wananufaika na uwepo wa wamasai
Serikali haiwezi ua 80% ya kabila la raia wake. Hakuna jamii ya watu fulani eneo fulani inaweza pigana na serikali na ikashinda.Vita Na wamasai Ni ngumu Sana, Kama mnabisha jaribni, mnaweza kukuta Mnaua 80% Na watarudi tena ngorongoro
Kwa nini mambo magumu yote mnafanya kipindi cha Mama? Hakuna malengo Ovu? Yani agombane Na kila kikundi!
CCM hamuaminiki nyinyi, angalieni hii michezo yenu isiyoeleweka ya kukurupuka maana mnamharibia Mama yenu!