Salome Makamba aomba Serikali itumie magari ya "Washawasha" kuwaondoa Wamasai Ngorongoro badala ya kudhibiti Wapinzani

Salome Makamba aomba Serikali itumie magari ya "Washawasha" kuwaondoa Wamasai Ngorongoro badala ya kudhibiti Wapinzani

Wamasai wanalo...!!
Kufuata historia, je? Ni Wamaasai wameingilia hifadhi ya wanyama au wanyama waliwakuta Wamaasai pale?
Mbona hili jambo limeshikiliwa kidedea leo?
Hapa kuna siri kubwa. Kama kipindi cha mtawala fulani walijenga kwenye njia ya Tembo!! Kwanini tusiamini hata sasa kuna mtawala ana taka eneo???
 
Kufuata jistoria, je? Ni Wamaasai wameingilia hifadhi ya wanyama au wanyama waliwakuta Wamaasai pale?
Mbona hili jambo limeshikiliwa kidedea leo?
Hapa kuna siri kubwa. Kama kipindi cha mtawala fulani walijenga kwenye njia ya Tembo!! Kwanini tusiamini hata sasa kuna mtawala ana taka eneo???
Naanza kuamini kuwa hili sakata la Ngorongoro lina yaliyojificha nyuma ya pazia.
Kwanza kabisa, tukubali lipo tatizo la Uhifadhi Ngorongoro.
Tena tatizo kubwa.
Tatizo lenyewe ni Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro.
Siyo Wafugaji wa Kimasai.
Nguvu ya rushwa inahamishia tatizo kwa Wafugaji, badala ya kulielekeza kwa Mamlaka ya Hifadhi.
Kwa nini?
Mbuga inayoingiza takriban Shs. Bilioni 150 kila mwaka, kwa nini wenyeji wa mbuga hiyo waishi kwa mashaka?
Wenyeji wa Hifadhi hiyo ni Wafugaji na Wanyamapori.
Kwa nini ishindikane kuboresha mazingira wakati kila mwaka pesa nyingi zinapatikana?
Let us focus on the corruption and inefficiencies of Ngorongoro Conservation Authority.
Kelele zote hizi zinaelekezwa kwa Wafugaji na rushwa inayotolewa na Viongozi wa Mamlaka.
Ambao wametoa Vibali haramu vya Ujenzi ndani ya Hifadhi.
Watanzania, tufumbueni macho tuone uhalisia.
 
Huyu amekosa Busara..., mara zote hususan katika jambo ambalo wananchi wenyewe ndio walinzi sio vema kutumia mabavu..., cha maana ni kutoa knowledge ili waelewe wenyewe wataondoka na kulinda wenzao zaidi wasichafue....

Let them know manufaa ya hio hifadhi na wafanye wawe wanufaika wa hio hifadhi (sasa kama faida yote wanakula wachache unategemea nini)?

Kuliko gharama za kupeleka magari wawatafutie sehemu bora zaidi kuliko hio (win win for all)
 
Mbunge wa viti maalumu, Salome Makamba ameitaka Serikali itumie magari ya Washawasha kuwaondoa Wamasai huko Ngorongoro badala ya kuyatumia kudhibiti Wapinzani.

Makamba amesema yeye ni balozi wa tembo hivyo anaelewa kinachoendelea hifadhini Ngorongoro kiukweli mbuga inaangamia kwa ukorofi wa Wamasai na matajiri kutoka Arusha na nchi jirani.

Mbunge huyo amekuwa wa pili kuitaka serikali itumie nguvu kuondoa Wamasai baada ya yule wa Mtwara mjini kutaka Vifaru vya Jeshi vitumike kuwaondoa.

Chanzo: TBC 2

Maendeleo hayana vyama!
Daaaah ndo wabunge tulionao bungenii kwakuwa hili jambo halimgusi yeye walaaa jamiii yake moja kwa moja atasema watolewe hata kwa mtutuuuu sasaa ila lingekuwa linamgusa yy asingesema ivoooo
 
Mbunge wa viti maalumu, Salome Makamba ameitaka Serikali itumie magari ya Washawasha kuwaondoa Wamasai huko Ngorongoro badala ya kuyatumia kudhibiti Wapinzani.

Makamba amesema yeye ni balozi wa tembo hivyo anaelewa kinachoendelea hifadhini Ngorongoro kiukweli mbuga inaangamia kwa ukorofi wa Wamasai na matajiri kutoka Arusha na nchi jirani.

Mbunge huyo amekuwa wa pili kuitaka serikali itumie nguvu kuondoa Wamasai baada ya yule wa Mtwara mjini kutaka Vifaru vya Jeshi vitumike kuwaondoa.

Chanzo: TBC 2

Maendeleo hayana vyama!
Wamasai wamewakosea nini?
 
Huyu amekosa Busara..., mara zote hususan katika jambo ambalo wananchi wenyewe ndio walinzi sio vema kutumia mabavu..., cha maana ni kutoa knowledge ili waelewe wenyewe wataondoka na kulinda wenzao zaidi wasichafue....

Let them know manufaa ya hio hifadhi na wafanye wawe wanufaika wa hio hifadhi (sasa kama faida yote wanakula wachache unategemea nini)?

Kuliko gharama za kupeleka magari wawatafutie sehemu bora zaidi kuliko hio (win win for all)
Posho mkuu
 
Mbunge wa viti maalumu, Salome Makamba ameitaka Serikali itumie magari ya Washawasha kuwaondoa Wamasai huko Ngorongoro badala ya kuyatumia kudhibiti Wapinzani.

Makamba amesema yeye ni balozi wa tembo hivyo anaelewa kinachoendelea hifadhini Ngorongoro kiukweli mbuga inaangamia kwa ukorofi wa Wamasai na matajiri kutoka Arusha na nchi jirani.

Mbunge huyo amekuwa wa pili kuitaka serikali itumie nguvu kuondoa Wamasai baada ya yule wa Mtwara mjini kutaka Vifaru vya Jeshi vitumike kuwaondoa.

Chanzo: TBC 2

Maendeleo hayana vyama!
Yaan wanasiasa!

IMG_20211029_105959.jpg
 
Huo ni uonevu maasai ni sehemu ya utalii pia, pili masaai Ali nyama pori sioni athari ya yeye kukaa hifadhini.
 
Usikute kuna mwarabu anatembeza mpunga kama enzi zile za Mwinyi maana wengine muhimu kwao Pesa.
 
Njia pekee ni kuwapunguza idadi yao Ili waendane na ecologia tena kiungwana kwa kuwapeleka maeneo mengine salama.
 
Ngorongoro imezalisha mabilioni ya fedha kwenye uchumi wa nchi; wamasai wakiwa sehemu ya vivutio vya utalii. Badala ya matumizi ya nguvu, serikali iwape motisha ili wahame kwa hiari. Kwa mfano, serikali ijenge flats maeneo fulani kama zile za JWTZ zilizojengwa maeneo mbalimbali nje ya miji then wahusika wahamishiwe huko. Mbona vijiji vya ujamaa enzi za Nyerere na Kawawa (Simba wa Vita) iliwezekana?

Atakayegoma kuhama huyo sasa atakuwa na jambo lake na haitakii mema nchi yetu hapo sasa nguvu inaweza kutumika. Ila kuwafukuza bila kuwaandalia makazi ni kuwaonea; ni unyanyasaji wala sio haki hata kidogo!
Mmaasai akakae ghorofani😁😆 na MBUSI inakaa wapi?
Ugolo na mate atawatemea mpaka nawaonea huruma, kisha huwa wanakojoa popote Tu! Shuka pembeni ananyunyuzia, nawaza akiwa ghorofani!😆😁
 
hii nchi ina wabunge waajabu sana , yaani wamasai ni wanyama kama wanyama wengine tu lakini bado watu wanashupaza shingo eti wawaondoe , uliona wapi mtu anapishana na simba ama tembo na hawadhuriani? wanaweza kulazimisha kuwaondoa hao masai ikawa ndio mwisho wa hiyo crater. Kuwa fisiemu kunahitaji ngozi ngumu sana , imagine anaweza akaja mbunge mmoja siku moja akaamua kuleta hoja kuwa serikali itumie nguvu kwa watu flani wabadilishe dini ama kabila na wakamshangilia.
 
Na chadema miaka mingi walikuwa wanatoa solution ya matatizo.

Lkn sasa wapo kimyaa ndipo wananchi watatia akili.

Sasa wananchi hawana wa kuwasemea
 
ha ha ha ,haya bana ,watu tunataka bwawa lianze kufua umeme,wanatuhamisha mawazo na wamasai .
 
Vita Na wamasai Ni ngumu Sana, Kama mnabisha jaribni, mnaweza kukuta Mnaua 80% Na watarudi tena ngorongoro

Kwa nini mambo magumu yote mnafanya kipindi cha Mama? Hakuna malengo Ovu? Yani agombane Na kila kikundi!

CCM hamuaminiki nyinyi, angalieni hii michezo yenu isiyoeleweka ya kukurupuka maana mnamharibia Mama yenu!
Serikali haiwezi ua 80% ya kabila la raia wake. Hakuna jamii ya watu fulani eneo fulani inaweza pigana na serikali na ikashinda.
 
Back
Top Bottom