Salome Mgaya (Mama Kibonge) akamatwa kwa ukwepaji Kodi za Mabilioni ya fedha Bandarini

Yule wa Tanga anajiita Nyumba ya bati. Halafu akasema gari imebadilishwa maumbile. Mama muuza vipodozi baada ya kuomba namba akasema Sasa nataka mkate na maziwa. Nampandia waziri mkuu juu Kwa juu. mwingine ameandika mwenyewe lakini anasoma kama mtoto anaye jifunza kusoma. Wafanya biashara wengine ni comedians
 
Hatimae .....🙌
 
Siyo nchi hii hakuna mfanyabiashara anayetaka kushare profit yake nusu KWA nusu na serikali kwa kazi kubwa wanzofanya mkuu ushawahi kaa kkoo unaona jinsi wafanyabiashara wanapitia ugumu, nenda maeneo ya mombasa, gmboto, mbagala uone wafanyabiashara wanafunga maduka kuwakimbia TRA, wanakodi za kipumbavu na ni WEZI waliokubuhu mtu ana duka la thamani ya mili5 unampga faini milion7 seriously?? BADO taka, BADO manispaa, BADO leseni bado kodi ya pango , hao wanaoitwa TRA tuwape mwezi mmoja halafu wasimamiwe kutoa kodi hata wiki2 hawatoboi wafanyabiashara hii nchi wanateseka ni basi tu umejaa ubabe
 
Wapigaji Sasa hivi ndiyo wenye Nchi,mtapiga kelelee sana,na Mama hana habari na kelelee zenu, ndiyo kwanza akiona makelele yanazidi anakula zake mwewe huyo Ughaibuni ku relax!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ukiagiza ki-probox chako cha 5m TRA na bandari wanakupiga kodi ya 10m. Umaskini nchi hii hautakaa uishe kama watu kama Mgulu wa chemba, marope, na nepi ni mawaziri.
yaani hapo ndio huwa naona TRA ni mashetani. kwenye kununua gari nje bei na kuja hapa wanatandika. kwanini wasiruhusu magari mengi yaingie kwa kodi ya chini afu watupige kodi kwenye wese manake mtu akishakuwa na gari hapa ndani hawezi kuilaza home bila kununua mafuta, wangepata wateja wengi sana wa kodi ya wese.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…