Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani ndo mama bonge wa leo???
Imeisha hiyo! Tufanye mambo mengine
Nimeona bonge la mama linaomba namba ya PM ila huyo lafudhi ya kichagaEheee ndiyo huyo huyo alishitakiwa kwa uhujumu uchumi na "kondena" zake kukamatwa.
Gademit hapo akili kubwaazi ndo watelewa, you knowCase Closed! Boma Ye!
Kabisa! Maana kwa vyovyote vile walimbambika mikesi na ilivyo inaonekana kuna mtu alitaka kuchekecha huo mzigo alale nao mbele, pumbavu kabisaCase Closed! Boma Ye!
Kabisa! Maana kwa vyovyote vile walimbambika mikesi na ilivyo inaonekana kuna mtu alitaka kuchekecha huo mzigo alale nao mbele, pumbavu kabisa
hujasikia vema akachukue na aende nan1/3 ya contena zake kwa maana 3bil unadhani anaenda tupu?Kashakula chaka kwenye tume hiyo. Huyo kama TRA wameshamuambia jana akachukue mzigo wake ina maana hapo kuna watu walikuwa wanatengeneza mazingira yakumpiga hela.
Hatimaye leo Waziri mkuu ameujuwa ukweli na mama Kibonge ameteuliwa kwenye tume ya serikali na wafanyabiashara.Leo tarehe 13 Oktoba 2022, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata shehena ya mizigo ya vitenge ya marobota 290 katika kontena mbili yenye thamani zaidi ya tsh. Billioni 5 iliyopitishwa kwa magendo katika bandari zetu.
Mfanyabiashara mwenye shehena hiyo alitorokea Dubai majuma matatu yaliyopita, huku TRA wakiweka doria na ulinzi mkali sana.
Mfanyabiashara huyo wa Kariakoo, mtaa wa Aggrey, Bi. Salome Mgaya, maarufu kama 'Mama Kibonge' au 'Mkinga' amekuwa akifanya jambo lolote bila kuguswa na yoyote pindi anapoingiza mizigo yake nchini kwa njia za magendo. Muda mwingine amekuwa anawatishia watumishi wa Bandari au TRA kuhamishwa au kufukuzwa kazi.
TRA wameendesha Operesheni Maalum chini ya Waziri wa Fedha Mwigulu Madelu Nchemba na kuweza kumdhibiti Mama Kibonge.
Mama Kibonge amekuwa akidaiwa kutamba kwa zaidi ya miaka kadhaa bila kukamatwa na kuguswa na mamlaka nchini Tanzania.
Kwa wasiofahamu na wanaomtetea Mama Kibonge kukamatwa kwa Mizigo yake hawajui kuwa, wanamtetea mkwepaji kodi, fiisadi na haramia wa Mapato ya Nchi yetu.
View attachment 2386213
Majaaliwa alitamani aseme mizigo itolewe bure ila bure yenyewe kaisemea mwisho na kigugumizi! All in all wameenda vizuri! Nitaacha udalali sasaNa ndiyo yupo kwenye kamati mchezo umeishia Mnazi Mmoja.
Na badala yake mama kibonge ndio anaenda kuwa wajibisha maafisa wa TRA waliokua wakimsumbua...🤣Kashakula chaka kwenye tume hiyo. Huyo kama TRA wameshamuambia jana akachukue mzigo wake ina maana hapo kuna watu walikuwa wanatengeneza mazingira yakumpiga hela.
Nilicheka pale alipouliza etu "wewe ndio mama bonge".....??Hatimaye leo Waziri mkuu ameujuwa ukweli na mama Kibonge ameteuliwa kwenye tume ya serikali na wafanyabiashara.
Alafu eti akaomba na namba ya Kasim...😝Mama Kibonge Katema Nyongo Imeruka
Mkuu hapo kidogo umechemka mama kibonge siyo yule kibonge wa kwanza aliyeomba kuonana na PM.Nimeona bonge la mama linaomba namba ya PM ila huyo lafudhi ya kichaga
Nimeshangaa na nilikuwa simjui huyo ila nimefahamu sasaMkuu hapo kidogo umechemka mama kibonge siyo yule kibonge wa kwanza aliyeomba kuonana na PM.
Yeye mama kibonge kapanda mrefu ana mwili wa wastani.