Salome Mgaya (Mama Kibonge) akamatwa kwa ukwepaji Kodi za Mabilioni ya fedha Bandarini

Salome Mgaya (Mama Kibonge) akamatwa kwa ukwepaji Kodi za Mabilioni ya fedha Bandarini

Yaani biashara za kariakoo zina vita ukiwa mwepesi unaachia ngazi
Vita nyingi, kuuziwa mzigo wa wizi
Kuibiwa
Kulogwa etc

Uzuri wa kkoo moto hautokei sababu si eneo la serikali
 
Makontena yote yana tracker. Na pia all transit Containers lazima pale Kibaha zihakikiwe kabla ya kuendelea na Safari- How comes hii itokeee mara nyingi kwa huyu mama kuwa ni mkwepa kodi?? Ina maana basi port, TRA yote ipo mfukoni kwake[emoji16]
Mchezo unachezwa bandarini
 
Na hili ndiyo tatizo kubwa, kuna siku nimekuta vitenge pale Tunduma vinauzwa bei chee sana nikashangaa na kuuliza ndiyo nikaambiwa Zambia kodi iko chini, kama ilivyo kwenye mafuta ya magari. Yaani kuna wauza vitenge wanaweza kwenda Zambia kununua mzigo na kuuleta kwetu kuuza. Angalia kwa mfano ushuru wa magari, yaani ushuru unazidi bei ya kununua hilo gari.
Huo mzigo utaishia barrier ya Mlowo
 
Wewe ndugu hiyo tracker inahamishiwa kwenye bodaboda inaendeshwa mpaka mpakani, wanatoa documents zinagongwa
Waulize vijana wa mlandizi bodaboda wanapewaga dili za kupeleka tracker s mpaka mpakan
Nyingi zinafungwa kwenye magari
 
Je alishafikishwa mahakamani? Au limemalizwa baada ya kulipa kodi stahiki
 
Jambo zuri ni kuwa TRA wameendesha Operesheni Maalum chini ya Kamanda na Jemedari Waziri wa Fedha Mwigulu Madelu Nchemba na amethubutu na kuweza kumdhibiti Mama Kibonge.[emoji23]
Una neno mkuu?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom