Salome Mgaya (Mama Kibonge) akamatwa kwa ukwepaji Kodi za Mabilioni ya fedha Bandarini

Salome Mgaya (Mama Kibonge) akamatwa kwa ukwepaji Kodi za Mabilioni ya fedha Bandarini

Acheni kunyanyasa watanzania walala hoi kwa hizi tozo zenu, badala yake wabaneni matajiri wanaokwepa kodi.

Kimsingi wakwepa kodi ni wengi, si huyu mama kibonge peke yake. Mchezo umeanza!!!!!!
Perfect
 
Hii kihasibu bado tunaipost kama,"MAMA KIBONGE VITENGE TAX UNQUESTIONABLE ACCOUNT" na TRA tunaipost kama "TRA TAX REVENUE PROVISIONAL FOR BAD DEBT" to be transferred to "TRA BAD DEBT WRITTEN OFF ACCOUNT" under support of CPA Diblo Dibala.
Hatari sana 🤣🤣🏃 🏃🏃
 
KULE KAMA SIO MZ9EFU LABDA UUZE MIKOJOO ELSE UTAFUNGATU
 
Hii inathibitisha kuwa mfumo wa ukaguzi bandarini ni mbovu na hata uandaaji wa nyaraka na upitishaji mizigo mipaka ya nchi jirani ni questionable
Ndugu yangu mifumo ipo na wenyewe haohao wanajua jinsi ya kuivuruga, ili kukwepa kodi na kujinufaisha na badala yake mwisho kuturundikia wananchi 'tozo' kibao...... kaazi kwelikweli.
 
Hii kihasibu bado tunaipost kama,"MAMA KIBONGE VITENGE TAX UNQUESTIONABLE ACCOUNT" na TRA tunaipost kama "TRA TAX REVENUE PROVISIONAL FOR BAD DEBT" to be transferred to "TRA BAD DEBT WRITTEN OFF ACCOUNT" under support of CPA Diblo Dibala.
Hatari sana 🤣🤣🏃 🏃🏃
CPA Diblo dibala……
 
Ila ndugu zangu TRA kuweni na macho ya kibiashara... watu wanakwepa kodi kwa kuwa sheria
Haizendani na hali halisi ya biashara,
Fine, Penalty and Charges... hapo ndipo kwenye shida zaidi.
Lyamber umesikia? Fikisha pia huu ujumbe kwa wenzako.
 
Tupiako basi kapicha kake please
Huyo hapo.
JamiiForums94557316.jpg
 
Sababu ya Vitenge Tanzania kuwa na kodi kubwa kuliko nchi nyingine East Africa ni nini?
Tumuulize Magufuli na wapiga dili wengine waliosema wanafanya protectionism ya kulinda viwanda vya ndani.
 
Back
Top Bottom