Salome Mgaya (Mama Kibonge) akamatwa kwa ukwepaji Kodi za Mabilioni ya fedha Bandarini

Salome Mgaya (Mama Kibonge) akamatwa kwa ukwepaji Kodi za Mabilioni ya fedha Bandarini

Mamlaka za serikali zijitafakari, sasa anawatishiaje wafanyakazi wa bandari na tra nao wanamwacha apitishe hiyo mizigo?

Basi yeye ni shina, mzizi hawajautoa maana kama walikuwa wanamwogopa basi ana backup nyuma yake na hiyo backup ndio ya kudeal nayo
 
Jambo zuri ni kuwa TRA wameendesha Operesheni Maalum chini ya Kamanda na Jemedari Waziri wa Fedha Mwigulu Madelu Nchemba na amethubutu na kuweza kumdhibiti Mama Kibonge.[emoji23]
Vinachekesha yaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni jambo kubwa sana kwa Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba
Jambo zuri ni kuwa TRA wameendesha Operesheni Maalum chini ya Kamanda na Jemedari Waziri wa Fedha Mwigulu Madelu Nchemba na amethubutu na kuweza kumdhibiti Mama Kibonge.
Mwingulu hastahili hizi sifa hapa acha kujipendekeza kwa kutoa sifa zisizostahili,
 
Mamlaka za serikali zijitafakari, sasavanawatishiaje wafanyakazi wa bandari na tra nao wanamuacha tubspitishe hiyo mizigo?
Basi yeye ni shina mzizi hawajautoa maana kama walikuwa wanamwogopa basi ana backup nyuma yake na hiyo backup ndio ya kudeal nayo
Unaweza kukuta hao hao wanaosema amekimbilia dubai ndio waliomsaidia kufika huko
 
Mama bonge...hajawah shindwa vita...na hii vita anapigwa na boss wa simba na mamluki kibao..kuna kaumafia fulan hivi kwenye hii biashara ya vitenge....kuna mmoja anataka kuwa supplyer na ni billionea na mzawa lakin kiwanda chake hakikidhi uhitaji wa bidhaa kwa hao wahitaji.,,na hapa ndio vita ilipoanzia tokea enz za Magu....

NB bil 5 kwa mama bonge...aah jaman mbona wanamchafua...pesa ya mandaz kabisa hyo...
Mo anahusika.
 
Back
Top Bottom