Aah kabisaa...shida ya officers wengi wa TRA hawajawah fanya biashara....
Halafu mbona michezo yakupiga sill mzigo kama wa transit then unapigwa chini humuhumu ndani zinagongwa document border kama umepita mbona inafanyika sana, magu ndio alikomesha kidogo unaona kwenye mafuta vituo vinavoota kama uyoga kibaha to chalinze unadhani ni nini?
Watu wanaingiza vitenge kama nguo za mtumba yote hii kodi ya TRA kubwa yaani zambia kitenge bei rahisi kuliko Tanzania yenye bandari hivo watu wanajiongeza na kukwepa kodi, kwanza unakuta watu wawili konyena 40ft nyote mnavitenge na supplier wenu mmoja lakini hiyo kodi kubwa ya kutisha na kila mmoja kodi yake.