Salome Mgaya (Mama Kibonge) akamatwa kwa ukwepaji Kodi za Mabilioni ya fedha Bandarini

Salome Mgaya (Mama Kibonge) akamatwa kwa ukwepaji Kodi za Mabilioni ya fedha Bandarini

Umenikumbusha jamaa yangu mkinga nae ana mashushu wanaopeleleza stoo na maduka wanaofanya biashara kama yake, wanampa mrejesho kila jumapili hali ikoje nani kaingiza sample mpya na umbeaumbea mwingine na anawalipa kabisa maana saa nyingine wanamendea kuhamisha wateja kwa trick kali unashangaa mteja kakuhama kumbe ashatiwa sumu kali na offer kibao,

Bora hiyo utapambana utapata wateja wapya

Kwenye Vipodoz wanachomeana stoo zinasafishwa na mamlaka

Unaanza upya
 
Yule mama ni koboko aisee...yule boss wa simba alitingishwa haswa...mwaka juz alinunua ghorofa tatu kkoo ndan ya mwez mmoja....afu akachukua mansion ya bil 8 osterby ...baada ya hapo akafunga maduka yake akaenda pumzika US mwez mzima....😂😂
Ngada haihusiki hapa?
 
Jamaa alidhani yeye ni jeuri kumbe avumae papa baharini kumbe wengine wapoo...! huyu alikuwa na vigogo wengi na connection nao sema akagusaa pa motooo
 
Ila tuacheni utani kodi TRA kubwa sana bila ujanja janja hakuna kutoboa.
Na hili ndiyo tatizo kubwa, kuna siku nimekuta vitenge pale Tunduma vinauzwa bei chee sana nikashangaa na kuuliza ndiyo nikaambiwa Zambia kodi iko chini, kama ilivyo kwenye mafuta ya magari. Yaani kuna wauza vitenge wanaweza kwenda Zambia kununua mzigo na kuuleta kwetu kuuza. Angalia kwa mfano ushuru wa magari, yaani ushuru unazidi bei ya kununua hilo gari.
 
UFAFANUZI TRA.jpg
 
Possibly Kuna msururu wa vigogo aliwaweka mifukoni.
->hii ni weakness ya watendaji, alipie mzigo wake kihalali na inavyostahili tusonge mbele under spesho monitoring!
Niwapongeze tra kwa kazi hii maana nchi inahitaji kodi ili kufanikisha yale yote ambayo yanatarajiwa. Hii ni haua nzuri kwa mamlaka na hii itafanya wengine waogope mchezo huu.nadhani kila mtu akilipa kodi kiukweli namatumaini kiwango cha kodi kitashuka sababu tunapenda kwepa lakini mwisho wa siku maendeleo ya nchi yetu yataletwa na sisi wenyewe .
 
Back
Top Bottom