Salome Mgaya (Mama Kibonge) akamatwa kwa ukwepaji Kodi za Mabilioni ya fedha Bandarini

Mamlaka za serikali zijitafakari, sasa anawatishiaje wafanyakazi wa bandari na tra nao wanamwacha apitishe hiyo mizigo?

Basi yeye ni shina, mzizi hawajautoa maana kama walikuwa wanamwogopa basi ana backup nyuma yake na hiyo backup ndio ya kudeal nayo
 
Jambo zuri ni kuwa TRA wameendesha Operesheni Maalum chini ya Kamanda na Jemedari Waziri wa Fedha Mwigulu Madelu Nchemba na amethubutu na kuweza kumdhibiti Mama Kibonge.[emoji23]
Vinachekesha yaani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni jambo kubwa sana kwa Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba
Jambo zuri ni kuwa TRA wameendesha Operesheni Maalum chini ya Kamanda na Jemedari Waziri wa Fedha Mwigulu Madelu Nchemba na amethubutu na kuweza kumdhibiti Mama Kibonge.
Mwingulu hastahili hizi sifa hapa acha kujipendekeza kwa kutoa sifa zisizostahili,
 
Unaweza kukuta hao hao wanaosema amekimbilia dubai ndio waliomsaidia kufika huko
 
Possibly Kuna msururu wa vigogo aliwaweka mifukoni.
->hii ni weakness ya watendaji, alipie mzigo wake kihalali na inavyostahili tusonge mbele under spesho monitoring!
 
Mo anahusika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…