Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Kumbe Nigeria ndio mananga kiasi icho? Wakati wanasoma geography from primary school to sec school hawakuelewa Africa ina nchi ngapi??? Ulikutana na kibonde wakinigeria akaongea ujinga wa kutosha......ukafurah badala umfundishe uyo boya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] is tanzanian deeam a thing???? NIGERIANS THINK TANZANIA IS A KENYAN COUNTY ....GIVE ME A BREAK MAN
Hiyo ya aje umeweka ya mwez juz ata kabla ya nymbo ya salome
Acha kudanganya nende YouTube ujionee kama utarudi tena hapa kibisha bisha Aje ina 4m na salome iko 6mHiyo ya aje umeweka ya mwez juz ata kabla ya nymbo ya salome
You let them talk all they wantKumbe Nigeria ndio mananga kiasi icho? Wakati wanasoma geography from primary school to sec school hawakuelewa Africa ina nchi ngapi??? Ulikutana na kibonde wakinigeria akaongea ujinga wa kutosha......ukafurah badala umfundishe uyo boya
Kiswahili chako ni fasaha au sanifu ?Nime tii na Huyo mtu