Kwanza nataka nikuambie suala la reli kuhujumiwa halijaanza kuzungumzwa na dc wa hai Juzi ,
TRC wakati wa sikukuu walianza kulia mapema wakidai wanahujumiwa kwenye reli lakini watu wakaaa kimya ,
Amesema juzi Dc wa Korogwe hujuma izo izo za reli mkoani tanga,Imetokea ivyo ivyo wilayani mwanga
Lakini aliposema sabaya imekuwa nongwa imewaumaa sana baadhi ya watu
Lakini tijiulize kwanini dc Sabaya kwake imekuwa na muwasho imekua na inawakunakuna watu mahali imekuwa imachoma kama shubiri?
Hii yote ni jinsi dc huyo anavyotenda kazi zake zinazoonekana,zenye logic,Zenye maelezo yaliyoshiba
Na ndio kinachowawasha watu fulani hasa wahalifu wa nchi hii.
Mimi nitoe hongera kwa Dc Sabaya kwavkuendelea kuwaadabisha wahalifu bila kujali kelele zao wala vibaraka wao,
Dc @🇲 🇭 🇪 🇩 🇨 🇸 🇦 🇧 🇦 🇾 🇦 chapa kazi kaka Tanzania imechelewa sana na wengi walihusika kuchelewesha walikuwa wenzetu hata ndani ya serikali na chama ,,,,,Kanyaga Twende tumechelewa sana.
Sent using
Jamii Forums mobile app