Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Nia yao ni kuficha jina LA Ole Sabaya na tukio zima. Nimelalamikia hili kuwa naona yupo Mod mmoja special kwa ajili ya kuwalinda Makonda na wenzake hao kina Sabaya uzi umefutwa. Jee rushwa imevamia JF?Moderator kichwa cha habari kiwe RPC wa Kilimanjaro badala ya Hamdun , wengine wanaweza kudhani huyo hamdun labda ni msela tu kaamua kujitokeza jf , hii habari ni kubwa sana , sijawahi kuona DC muongo kwa kiwango cha hatari kama huyu kwa kadri ya kumbukumbu zangu
Sent using Jamii Forums mobile app