Salum Hamdun: Hakuna miundombinu ya reli Kilimanjaro iliyoharibiwa

Wanaomsakama Mbowe hupandishwa vyeo na Magufuli , mfano hai ni Byakanwa
 
Wapo wavuta Bangi wengine ni wastaarabu sana Mkuu huyu dogo labda anayo matatizo ya Akili ..
Kujitutumua kama Kifutu. Hai kuna Matatizo Lukuki, Vijana hawana Ramani ya maisha. Wameishia kunywa Banana na kuvuta Bhangi. DC anashindwa kuwapa mbinu za kujikomboa anatafuta beef na wakaazi. Zao linaloeweka na soko lake wilayani DC ameshindwa kulisimamia Vijana wajiajiri. Daily Upinzani , Upinzani unashutumiwa kutoleta Maendeleo. Awape Basi yeye Maendeleo kuliko kujenga beef na Watu.
 
DC Sabaya hii account yako hujaisahau kukusupport ?bado zile nyingine mbili.mpaka zitimie zote nne.na ile moja ulisema siku ile unaitumia kama mpinzani kuwaponda wenzio walio ccm

 
DC ana sources tofauti za info. Anaweza kuwa kapata info za kiintelijensia toka Usalama wa Taifa ambapo RPC hawezi jua.
Simtetei DC Ila naongeza nyama...
Labda aliwasingizia or May be not
Kiongozi mwenye mamlaka inatakiwa atunze kauli zake 'a public figure has to keep his words'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Za Sabaya si siasa. Ni mambo ya kitoto...!

Haiingii akilini kuwa wafanyabiashara wa mabasi wawili tu Tanzania nzima, tena kutoka Wilayani kwake wanapanga kuhujumu Shirika la Reli. Ina maana treni inaathiri tu wafanyabiashara wa Hai?
Siyo kupanga ila eti wamehujumu miundombinu na kutoa amri wakamatwe matamko nyuma ya mikamera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwasasa itakuwa ngumu kumeza maana vyombo vya habari vimesha sema wana kesi ya uhujumu uchumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi tafsiri ya hili neno lifuatalo la kimombo ni ipi 'business as usual'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha akili finyu mkuu,Kwan huyo dc wa korogwe alitaja watu majina?
Haya mbona polisi wamekanusha? Mnaweza kulipa fidia ya kuwachafua watu? Kwan msifanye uchunguzi kimyakimya muwabaini?
Hivi nikikuchafua jina kwa tuhuma za uongo utajisikiaje? ACHA UKASUKU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akikujibu ni tag

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna akili fala ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wavuta bangi wa Magufuli. Huyu jamaa bangi kwake ni kama chakula!
 
Reli inafika hai? Kamanda Hamduni leo llikua na mkuu wa wilaya ya Moshi, Kippi warioba..kutolea ufafanuzi..Hilo dubwasha lenu liliropoka tu mambo ya wilaya nyingine wakati ndo kwanza ukarabati wa kufukua njia unaendelea Moshi..
Lumumba fc ni wa kuonea huruma wakati mwingine, yaani mtu kama johnthenaptist katika hali ya kawaida usingetegemea kutojua kuwa reli imeishia Moshi toka Same, lakini kajitokeza kama kichuchunge mdomo mbele kwa ujuaji utafikiri anajua kila kitu duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…