Salum Hamdun: Hakuna miundombinu ya reli Kilimanjaro iliyoharibiwa

Nia yao ni kuficha jina LA Ole Sabaya na tukio zima. Nimelalamikia hili kuwa naona yupo Mod mmoja special kwa ajili ya kuwalinda Makonda na wenzake hao kina Sabaya uzi umefutwa. Jee rushwa imevamia JF?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mtu usiye na upeo wowote!
Nimejaribu kuziangalia post zako za toka 2014 ni zile za utetezi wa Ole Sabaya tuu tokea akiwa uvccm na kabla ya hapo kawivu kidogo na Makonda akiwa mjumbe wa Bunge LA katiba na sakata lake la kuiba simu. Hilo sakata inaonyesha ndani ya UVCCM Makonda mlimuonea wivu kuchaguliwa kuwa mjumbe hivyo ikawa nafasi ya kumponda.
Kwenye utetezi wako wa Ole Sabaya unajitanabaisha pasipo shaka kuwa wewe ni nafsi yake ya pili.
Hivyo Sabaya acha fix zako, Uzi mrefu lakini hauna lolote zaidi ya kujitetea wakati RPC tayari kesha kutangaza kuwa mzushi na adui mkubwa wa watu wa Kilimanjaro.
Unadhani hao wafanyabiashara ukiwapa kesi ya uhujumu wangapi wataathirika na familia zao kampuni zikiyumba au kufa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kuwa na akili ila usiitumie vyema kabisa...ni baadhi ya Vijana wateule...Adabu na hekima hakuna kabisa.

Na huwa wanasifiwa sana wanapofanya mambo ya hovyo...

Simamieni Reli yenu vyema sio kuleta visingizo na kulia lia....Mkoloni alipojenga huo Mzigo hakuwaza kuwa kuna siku ingelikufa then ije ifufuliwe kwa Sherehe.

Ni aibu kubwa sana Kiongozi kama yeye kufanya alichofanya tena kwa uso mkavu...kama walikuwa na sababu zao binafsi za kwenye Baa walipaswa wamalize huko huko...
 
Namsubiri sabaya! Maana cjajua kilichoenderea hapo! Huyo jamaa sabaya alikamata kiwanda cha noti bandia Dar.
 
Namsubiri sabaya! Maana cjajua kilichoenderea hapo! Huyo jamaa sabaya alikamata kiwanda cha noti bandia Dar. Sasa cjajua nani mkweli ukilinganisha na uchapa kazi wake. Au imformer wake walitaka wamuingize chaka kwa akina mbowe! Hii cyo bure make hta kipindi cha nyuma marais waliingizwa chaka kuzindua miradi ya hovyo.
 
Huo ndiyo ungeitwa uchochezi,na Lengai Olesabaya angeitwa kupeleka uthibitisho na ushahidi wa tuhuma alizozitoa.Akishindwa,yeye ndiye mshitakiwa maana inawezekana alichelewa kuhujumu hiyo reli ili awasingizie hao kina LIM & Machame Safaris. Awajibike/wajibishwe kwa sababu Mke wa Kaiser hatakiwi kutuhumiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namsubiri sabaya! Maana cjajua kilichoenderea hapo! Huyo jamaa sabaya alikamata kiwanda cha noti bandia Dar.

Hii mpya ebu nijuze kiduchu nilipitwa Hii habari.DC Hai na Dar wapi na wapi
 
Mkuu wa wilaya hakuwa mjinga kusema namna ile..labda aliyepaswa kuzungumza sio yeye.
Wakati sio ukuta kuna siku tutajua ukweli.
 
Mkuu wa wilaya hakuwa mjinga kusema namna ile..labda aliyepaswa kuzungumza sio yeye.
Wakati sio ukuta kuna siku tutajua ukweli.
Sasa kama unasubiri kujua ukweli unakataaje kuwa DC hakuwa mjinga? Sabaya ni mjinga completely, na ni kwa sababu ni DC wa Hai na ameonyesha anapambana na Mbowe kama hana ajili nzuri ndio kinalinda kibarua chake. Lakini ingekuwa wilaya nyingine tayari angesha pokonywa tonge kwa kuikosanisha jamii na serikali yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sikubishii... kwa tz anything is possible...
Wengi wametishwa ili walegee watoe pesa
 
RSO na DSO sio na usalama hao....mgambo tu.... Ndio maana wengine wanatutisha kwenye mabaa..

Usalama we talking abt secret service


QUOTE="luambo makiadi, post: 34183913, member: 466188"]Hoja finyu,kwan RPC Hana acces na usalama wa Taifa? Hujui kuwa afisa usalama wa Taifa mkoa yupo chini ya RPC?

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
 
Du! Kaazi kwelikweli
 
Ole Sabaya Ni mhuni,
Hongera Sana SALUM HAMDUNI (New Takukuru director) kuisimamia kweli.
 

Salum Rashid Hamdun kutoka ACP mpaka CP, je ndiye IGP ajae baada ya Sirro kustaafu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…