Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kafyekwa bila kujadiliwa ! sijui kama unaelewa mjomba .Huna hoja kwani Ni jecha tu Aliekatwa mnakwama wapi Cha Domo?
Tutajie na mwingine aliyekatwa bila kujadiliwa basi ili tumjue.Huna hoja kwani Ni jecha tu Aliekatwa mnakwama wapi Cha Domo?
Bado Gwajima litadhalilika kuliko changudoa wa Tandale
Bado hajajibu?Tutajie na mwingine aliyekatwa bila kujadiliwa basi ili tumjue. Maana swala hapa ni "kukatwa bila kujadiliwa"!
Wala sijaichambua , nimeileta kama nilivyoletewa tu kutoka kwa nzi wangu .sijategemea kama wewe una uwezo mdogo hivi wa kuchambus taarifa kwa kiasi hiki
[emoji23][emoji1787]sijategemea kama wewe una uwezo mdogo hivi wa kuchambus taarifa kwa kiasi hiki
Kwani tabia za Nyumbu huzijui?Very strange
Jecha anawauma chadema kuliko hata wanzanibari wenyewe!!!
Nyuzi nyingi na comments nyingi humu za kumponda jecha Ni za watanzania bara sio wanzanibari Tena watanzania bara wenyewe wa chadema wanzanibari Wala wako kimya
Chadema kwa umbeya na udandiaji mambo yasiyowahusu hawajambo
Tutaendelea kuwaumbua bila hurumaMuda ni mwalimu mzuri sana!!