wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Jecha alikuwa anachangamsha genge tu. Mie nashangaa watu wanadhani Jecha alikuwa makini na uchaguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jecha anaonekana sana kuliko wengine waliokatwa, kwakuwa alimbeba shein na kumpa haki asiyostahili.
Hivyo alitazamia kubebwa pia, na tulitazamia mumbebe.
AiseeBado Gwajima litadhalilika kuliko changudoa wa Tandale
Hawakumlipa fungu lake lote.Tatizo Jecha amekuwa utopolo sana angekaa kimya kama lubuva.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AiseePia alisema anayo ndoto ya kuona Misikiti ikigeuzwa Sunday Schools.
Kwa hiyo shida yenu ni maendeleo au kuwapa shukurani watu waliopaginia chama bila kuzingatia uwezo wao wa kuwaongoza wananchi na kuleta maendeleo?Wengine hawakuipigania CCM kiwango cha Jecha, kweli CCM shukran yenu ni mateke.
Hana ushahidi wowote kuthibitisha madai yake.Umemuelewa lkn mtoa mada?? Yaani wote walijadiliwa mmoja mmoja ispokuwa Jecha kwani lilipotajwa tu jiana lake moja kwa moja likatupwa kapuni bila hata Wajumbe kutia neno.
Na bado yajayo yanayokuja yamtamfurahisha.Tulikuonya mapema sana kwamba Shetani hajawahi kuwa na rafiki, ukatuona wajinga lakini taarifa za siri kutoka kwenye kikao cha CCM Zanzibar cha kuchuja wagombea wa urais wa Zanzibar, jina lako limekatwa kinyama bila hata kujadiliwa, wewe Jecha ndio mtu wa kwanza kufyekwa bila huruma.
Mwenyekiti wa kikao hicho kilichokuchinjia baharini ni yuleyule Shein uliyembeba kwa mbeleko ya chuma bila aibu wala soni, sasa subiri kudhalilika zaidi.
View attachment 1497856
Jipe moyo . Ipo ndani ya mioyo ya watu [emoji120]Hangaika na ya kwenu chadema Zanzibar hata wanachama hamna ya wazanzibari waachieni wenyewe nyie pambaneni na hali zenu.
Chadema kimekimbiwa Hadi mitandaoni mumemebaki watu msiozidi wanne ndio more active wewe ,salary slip , my son drink water na tindo.
Membe lini ulimleta CDM ?!Wao wenyewe wana wagombea Mbowe, Lissu, Nyalandu, Msigwa, mwanamama asiyesemwa na Membe. Sasa sijui wao hawatamkata mtu watagombea wrote? Kweli kuwa nyumbu ni mzigo!
Kanywe naye chai. Huyo yuko ACT wazalendo.Kazi na bata! Ahahahahah! 2020 Twende na Membe! Ahahahahahh!