Uchaguzi 2020 Salum Jecha Mwenyezi Mungu hataniwi, umelipwa kwa kadri ya matendo yako, sasa subiri makubwa zaidi

tutaendelea kuwaumbua bila huruma
Hangaika na ya kwenu chadema Zanzibar hata wanachama hamna ya wazanzibari waachieni wenyewe nyie pambaneni na hali zenu.

Chadema kimekimbiwa Hadi mitandaoni mumemebaki watu msiozidi wanne ndio more active wewe ,salary slip , my son drink water na tindo.
 
Kwi Kwi Kwi
 
Pia alisema anayo ndoto ya kuona Misikiti ikigeuzwa Sunday Schools.
 
We kaa unahesabu watu tuu huku chama chenu kinaaumbuliwa kwa ULAGHAI NA UONGO wake
 
Zidumu fikra za mwenyekiti wa chama 💪🏾
 
Kuna cha kujifunza kwa Mwenyekiti mpya wa Tume ya uchaguzi huko Zanzibar. Bila shaka CCM inapanga kumtumia kama alivyotumika Jecha. Baada ya CCM ku-ejaculate nadhani atatiwa katika dust bin.
 
Umemuelewa lkn mtoa mada?? Yaani wote walijadiliwa mmoja mmoja ispokuwa Jecha kwani lilipotajwa tu jiana lake moja kwa moja likatupwa kapuni bila hata Wajumbe kutia neno.

Duh, kachinjiwa baharini bila kuelekezwa kibra! Heri angekufa kwa corona.
 
Sheinkafanya jambo la busara na hata wasingemfyeka bado ungelalama.
Jeca hakupaswa cukua form
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…