Uchaguzi 2020 Salum Jecha Mwenyezi Mungu hataniwi, umelipwa kwa kadri ya matendo yako, sasa subiri makubwa zaidi

Jecha alikuwa anachangamsha genge tu. Mie nashangaa watu wanadhani Jecha alikuwa makini na uchaguzi.
 
Jecha mwamwonea bure! Alitekeleza maamuzi kutoka juu. Katika chaguzi za Zanzibar hilo ni kawaida, CCM haijawahi shinda hata siku moja.
Jecha anaonekana sana kuliko wengine waliokatwa, kwakuwa alimbeba shein na kumpa haki asiyostahili.
Hivyo alitazamia kubebwa pia, na tulitazamia mumbebe.
 
Jecha amefanya kosa kubwa sana la kudhalilisha Urais wa Dkt. Shein. Kitendo cha yeye kuchukua fomu ilhali yeye ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ambaye ndiye aliyetoa maamuzi ya kufuta uchaguzi, yamepeleka taarifa mbaya kwa wananchi kuwa alifanya hivyo kulinda maslahi ya chama chake cha ccm.

Na hilo ni kosa kubwa sana kushusha hadhi ya Rais. Hivyo hakustahili hata kujadiliwa hata kidogo, na jambo la kwanza lingetakiwa kuchana fomu yake bila hata ya kuikagua.
 
😀😀😀
Sasa mnatunga mnayotamani yangetokea.. chadrama nyie hamukomi.. uliyoyaandika yameonyesha uongo.. kufikiri utawachonganisha.. kisa bado unaumia kwa kile.. unafikiri kilitokea huko nyuma.. pole sana.. ila acha kutunga
 
Wengine hawakuipigania CCM kiwango cha Jecha, kweli CCM shukran yenu ni mateke.
Kwa hiyo shida yenu ni maendeleo au kuwapa shukurani watu waliopaginia chama bila kuzingatia uwezo wao wa kuwaongoza wananchi na kuleta maendeleo?
 
Umemuelewa lkn mtoa mada?? Yaani wote walijadiliwa mmoja mmoja ispokuwa Jecha kwani lilipotajwa tu jiana lake moja kwa moja likatupwa kapuni bila hata Wajumbe kutia neno.
Hana ushahidi wowote kuthibitisha madai yake.
 
Na bado yajayo yanayokuja yamtamfurahisha.
 
Jipe moyo . Ipo ndani ya mioyo ya watu [emoji120]
 
Zanzibar wana huruma sana, huyo bado yuko hai? Na hapo alipo familia iko salama tu!!!!!!! Duh wazanzibar mna moyo sana. Yuko hai????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…