GE2025 Salum Mwalimu akiangalia kwa bashasha nyomi la watu kwenye kampeini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
CHAUMMA walidhani ma press conference ya kila siku kuwa ndo siasa zenyewe.

Sahivi wanalia kilio na kusaga meno, Hadi kwenye mitandao ya kijamii Hawa post chochote kinachousu kampeini.

John Mrema amegombana na Salim Mwalimu toka kampeini zianze haja post chochote.

Niitieni Salimu mwalimu

20250906_214012.jpg
 
Wawasaidie malori na wao wajaze uwanja..
 
Ila CCM wamekoma hawatorudia tena
Hawa jamaa ni wajinga sana na Abdul wao. Walikuwa wanaona CHADEMA inapata nyomi wakadhani wao ndiyo vinara. Nadhani wengi sasa hivi wameshaona makosa waliofanya ila wanashindwa kurudi nyuma. Mtu kama yule Catherine Ruge alikuwa na future nzuri tu CHADEMA na alikuwa na mashabiki wengi.
 
😁😁😁Kina Mrema na Kigaila walidhani Wana nguvu sahivi wanalia kilio na kusaga meno
 
Back
Top Bottom