GE2025 Salum Mwalimu akiangalia kwa bashasha nyomi la watu kwenye kampeini

GE2025 Salum Mwalimu akiangalia kwa bashasha nyomi la watu kwenye kampeini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hii sio strong reason ya kukufanya utukane waislamu wote. hao unaowaongelea ni wao na huo upuuzi unaosemea wewe haufanywi na waislam wote.
Mfano mzuri ni mwijaku asimame alafu aseme Kwa niaba ya watanzania napenda kusema watanzania wote watampigia kura mama. Nazani hata wewe unaweza kushangaa wewe ulimpatia wapi mwijaku taarifa kama hiyo Kwasababu wewe ni mtanzania na mwijaku Hana mamlaka ya kuwasemea watanzania wote.
Usiponielewa hapa ndiyo basi Tena.
Uislamu unasema kama kuna kitu kiovu basi kiondoe ila kana uwezi kukiondoa kikemee kama uwezi hata kukikemea kichukie ....sasa mbona waislamu hatuwaoni kwenye hayo matatu je ni waislamu gani hao unao wazungumzia wewe ..juzi shekh katamka wazi wazi kuwa wakristo wachinjwe
 
mleta uzi ulimwona kijana mfupi kias kaunda suti, afro fupi na mawani na VXLR?? ndiyo mm wakati mwingine tusalimiane mkuu 🤝
 
Uislamu unasema kama kuna kitu kiovu basi kiondoe ila kana uwezi kukiondoa kikemee kama uwezi hata kukikemea kichukie ....sasa mbona waislamu hatuwaoni kwenye hayo matatu je ni waislamu gani hao unao wazungumzia wewe ..juzi shekh katamka wazi wazi kuwa wa
Uislamu unasema kama kuna kitu kiovu basi kiondoe ila kana uwezi kukiondoa kikemee kama uwezi hata kukikemea kichukie ....sasa mbona waislamu hatuwaoni kwenye hayo matatu je ni waislamu gani hao unao wazungumzia wewe ..juzi shekh katamka wazi wazi kuwa wakristo wachinjwe
Kama hujanielewa nilivyoongea hapo nyuma ndiyo basi Tena hutaweza kunielewa hata nikiongea namna gani.
Kakah elewa usitumie neno waislamu tumia neno Kuna baadhi ya waislamu unazungumzia watu wenye Imani Fulani na sio itikadi Fulani.
Huyo sheikh unaemzungumzia ni yeye ndiyo aliesema kuwa watu wachinjwe lakini Mimi hujaniskia kusema hvy Kwasababu sheikh Hana mamlaka ya kunisemea Mimi.
Anywa Mimi nilikuwa nakukumbusha tu kama unaona huwezi kuacha icho unachokifanya wewe endelea na Mimi siwezi kukulazimisha na Wala Mimi siwezi kuchukia Kwasababu ni njia ambayo wewe umeamua kupita.
Ni hvy tu blood wewe endelea 🙌🏿🙌🏿🙌🏿
 
CHAUMMA walidhani ma press conference ya kila siku kuwa ndo siasa zenyewe.

Sahivi wanalia kilio na kusaga meno, Hadi kwenye mitandao ya kijamii Hawa post chochote kinachousu kampeini.

John Mrema amegombana na Salim Mwalimu toka kampeini zianze haja post chochote.

Niitieni Salimu mwalimu

View attachment 3467081
Mkuu ujue nimecheka na niko ICU. Sasa kuona nimecheka, madaktari wamesema watanirudisha wodi ya kawaida ilhali mimi naona hali bado. 😂🤣
 
Back
Top Bottom