GE2025 Salum Mwalimu akiangalia kwa bashasha nyomi la watu kwenye kampeini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wakristo awanaga udini napinga labda wewe unatumia kipimo cha unafiki ...waislamu haswa wanapo pata fedha na kuwa na mali ndiyo wanakuwa wadini ...juzi recodi zimevuja viongozi wa ccm waislamu wanaulizana muislamu au mkristo ...kisha wanasema wanataka muislamu ili kusimamia maslai ya waislamu siyo ya taifa ....nionyesheni recodi moja tu ya wakristo mimi nitaonyesha 100 za waislamu.....tumewasikia hadi mashekh wakipendekeza wakristo kuchinjwa nani aliye kemea au kupinga kati ya waislamu....
Ndiyo mana nakwambia kama yanafanywa basi jua yanafanywa na sehemu ya waislamu either wenye mamlaka ya dini kitaifa or waislamu wachache wenye manufaa binafsi ya kisiasa nchini.
Hvy basi napenda kukwambia kuwa Ukiwa unasema watu usipende kujumuisha watu Kwasababu Mimi ni muislam na sioni haja ya kumtukana na kumdharau asie kuwa muislam na hata nikifanya hvy sioni manufaa yake. na kundi la watu ambao wapo kama Mimi ni wengi kuliko ambao wanapata manufaa.
Ni hvy tu mkuu kama utakuwa muelewa hutanielewa kama utaendelea kusimamia msimamo wako go ahead bro there's no strength for forbid donkey
 
Kumbe bado hakujafungwa huku au kwa sababu ya VPN
 
Mimi mwenyewe nimezaliwa kwenye uislamu hivyo najua upuuzi wa waislamu hasa wale wanaoshabikia uislamu
 
CHAUMMA walidhani ma press conference ya kila siku kuwa ndo siasa zenyewe.

Sahivi wanalia kilio na kusaga meno, Hadi kwenye mitandao ya kijamii Hawa post chochote kinachousu kampeini.

John Mrema amegombana na Salim Mwalimu toka kampeini zianze haja post chochote.

Niitieni Salimu mwalimu

View attachment 3467081
It was at this moment he knew he fuckvd up🤣🤣🤣
 
Mbowe mhuni sana kawatanguliza hawa vibaka kusoma upepo kaona hakieleweki anasema yeye kamwe hawezi kuondoka Chadema, amebaki anajidunga konyagi zake tu mafichoni.
 
CHAUMMA walidhani ma press conference ya kila siku kuwa ndo siasa zenyewe.

Sahivi wanalia kilio na kusaga meno, Hadi kwenye mitandao ya kijamii Hawa post chochote kinachousu kampeini.

John Mrema amegombana na Salim Mwalimu toka kampeini zianze haja post chochote.

Niitieni Salimu mwalimu

View attachment 3467081
Viatu vya mhehsimiwa rice
 
Mheshimiwa rice (ubwabwa) akiwa amekalia kiti cha mheshmiwa rice viti viwili kwa uzito alikuwanao
 
CHAUMMA walidhani ma press conference ya kila siku kuwa ndo siasa zenyewe.

Sahivi wanalia kilio na kusaga meno, Hadi kwenye mitandao ya kijamii Hawa post chochote kinachousu kampeini.

John Mrema amegombana na Salim Mwalimu toka kampeini zianze haja post chochote.

Niitieni Salimu mwalimu

View attachment 3467081
Huyo wa nyuma ni Sigarda?
 
Mimi mwenyewe nimezaliwa kwenye uislamu hivyo najua upuuzi wa waislamu hasa wale wanaoshabikia uislamu
Hii sio strong reason ya kukufanya utukane waislamu wote. hao unaowaongelea ni wao na huo upuuzi unaosemea wewe haufanywi na waislam wote.
Mfano mzuri ni mwijaku asimame alafu aseme Kwa niaba ya watanzania napenda kusema watanzania wote watampigia kura mama. Nazani hata wewe unaweza kushangaa wewe ulimpatia wapi mwijaku taarifa kama hiyo Kwasababu wewe ni mtanzania na mwijaku Hana mamlaka ya kuwasemea watanzania wote.
Usiponielewa hapa ndiyo basi Tena.
 
Back
Top Bottom