Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Wawasaidie malori na wao wajaze uwanja..CHAUMMA walidhani ma press conference ya kila siku kuwa ndo siasa zenyewe.
Sahivi wanalia kilio na kusaga meno, Hadi kwenye mitandao ya kijamii Hawa post chochote kinachousu kampeini.
John Mrema amegombana na Salim Mwalimu toka kampeini zianze haja post chochote.
Niitieni Salimu mwalimu
Ila CCM wamekoma hawatorudia tenaWawasaidie malori na wao wajaze uwanja..
So?Siku za kampeni nyingi sana
Hatari sana😁Kazini kwa CHAUMMA Kuna Kazi
😁😁😁😁😁CCM-C Wana Hali mbaya. Chopa ipo kwenye mawe🙂
Hawa jamaa ni wajinga sana na Abdul wao. Walikuwa wanaona CHADEMA inapata nyomi wakadhani wao ndiyo vinara. Nadhani wengi sasa hivi wameshaona makosa waliofanya ila wanashindwa kurudi nyuma. Mtu kama yule Catherine Ruge alikuwa na future nzuri tu CHADEMA na alikuwa na mashabiki wengi.Ila CCM wamekoma hawatorudia tena
Nyomi hakuna na siku bado nyingi si lazima upagawe mkuu
Haya ******* Kila siku walikuwa wanafanya press conferenceNyomi hakuna na siku bado nyingi si lazima upagawe mkuu
😁😁😁Kina Mrema na Kigaila walidhani Wana nguvu sahivi wanalia kilio na kusaga menoHawa jamaa ni wajinga sana na Abdul wao. Walikuwa wanaona CHADEMA inapata nyomi wakadhani wao ndiyo vinara. Nadhani wengi sasa hivi wameshaona makosa waliofanya ila wanashindwa kurudi nyuma. Mtu kama yule Catherine Ruge alikuwa na future nzuri tu CHADEMA na alikuwa na mashabiki wengi.
Hizi takataka kina John MremaTanzalia nchi hii adui mkubwa ni hawa wana Siasa