GE2025 Salum Mwalimu akiangalia kwa bashasha nyomi la watu kwenye kampeini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ndiyo mana nakwambia kama yanafanywa basi jua yanafanywa na sehemu ya waislamu either wenye mamlaka ya dini kitaifa or waislamu wachache wenye manufaa binafsi ya kisiasa nchini.
Hvy basi napenda kukwambia kuwa Ukiwa unasema watu usipende kujumuisha watu Kwasababu Mimi ni muislam na sioni haja ya kumtukana na kumdharau asie kuwa muislam na hata nikifanya hvy sioni manufaa yake. na kundi la watu ambao wapo kama Mimi ni wengi kuliko ambao wanapata manufaa.
Ni hvy tu mkuu kama utakuwa muelewa hutanielewa kama utaendelea kusimamia msimamo wako go ahead bro there's no strength for forbid donkey
 
Kumbe bado hakujafungwa huku au kwa sababu ya VPN
 
Hela ya mradi wanaila kwa fedheha kubwa sana na wakimaliza sijui sura zao zitakaa waoi
 
Mimi mwenyewe nimezaliwa kwenye uislamu hivyo najua upuuzi wa waislamu hasa wale wanaoshabikia uislamu
 
It was at this moment he knew he fuckvd up🀣🀣🀣
 
Mbowe mhuni sana kawatanguliza hawa vibaka kusoma upepo kaona hakieleweki anasema yeye kamwe hawezi kuondoka Chadema, amebaki anajidunga konyagi zake tu mafichoni.
 
Viatu vya mhehsimiwa rice
 
Mheshimiwa rice (ubwabwa) akiwa amekalia kiti cha mheshmiwa rice viti viwili kwa uzito alikuwanao
 
Huyo wa nyuma ni Sigarda?
 
Mh. Dr. Salim Mwalimu anastahili kupewa nchi
 
Mimi mwenyewe nimezaliwa kwenye uislamu hivyo najua upuuzi wa waislamu hasa wale wanaoshabikia uislamu
Hii sio strong reason ya kukufanya utukane waislamu wote. hao unaowaongelea ni wao na huo upuuzi unaosemea wewe haufanywi na waislam wote.
Mfano mzuri ni mwijaku asimame alafu aseme Kwa niaba ya watanzania napenda kusema watanzania wote watampigia kura mama. Nazani hata wewe unaweza kushangaa wewe ulimpatia wapi mwijaku taarifa kama hiyo Kwasababu wewe ni mtanzania na mwijaku Hana mamlaka ya kuwasemea watanzania wote.
Usiponielewa hapa ndiyo basi Tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…