GE2025 Salum Mwalimu akiangalia kwa bashasha nyomi la watu kwenye kampeini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Uislamu unasema kama kuna kitu kiovu basi kiondoe ila kana uwezi kukiondoa kikemee kama uwezi hata kukikemea kichukie ....sasa mbona waislamu hatuwaoni kwenye hayo matatu je ni waislamu gani hao unao wazungumzia wewe ..juzi shekh katamka wazi wazi kuwa wakristo wachinjwe
 
mleta uzi ulimwona kijana mfupi kias kaunda suti, afro fupi na mawani na VXLR?? ndiyo mm wakati mwingine tusalimiane mkuu 🀝
 
Kama hujanielewa nilivyoongea hapo nyuma ndiyo basi Tena hutaweza kunielewa hata nikiongea namna gani.
Kakah elewa usitumie neno waislamu tumia neno Kuna baadhi ya waislamu unazungumzia watu wenye Imani Fulani na sio itikadi Fulani.
Huyo sheikh unaemzungumzia ni yeye ndiyo aliesema kuwa watu wachinjwe lakini Mimi hujaniskia kusema hvy Kwasababu sheikh Hana mamlaka ya kunisemea Mimi.
Anywa Mimi nilikuwa nakukumbusha tu kama unaona huwezi kuacha icho unachokifanya wewe endelea na Mimi siwezi kukulazimisha na Wala Mimi siwezi kuchukia Kwasababu ni njia ambayo wewe umeamua kupita.
Ni hvy tu blood wewe endelea πŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏ
 
Mkuu ujue nimecheka na niko ICU. Sasa kuona nimecheka, madaktari wamesema watanirudisha wodi ya kawaida ilhali mimi naona hali bado. πŸ˜‚πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…