Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Naona bado Team Mbowe wanazidi kujikanyaga tu wao wenyewe hata hawajui hiyo 'No reforms no election' ni nini. So sad asee,
===
Salumu Mwalimu ambaye alikuwa ni miongoni mwa waliotangaza kujitoa CHADEMA amefanyiwa mahojiano na Wasafi Tv na kueleza kuwa lengo lwa Mbowe lilikuwa ni kupigania mifumo ili waingie kwenye uchaguzi. Anasema kwa namna yoyote ile wangeingia kwenye uchaguzi lakini siyo kususia.
Pia soma