Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Ina maana walipokuwa wanatwambia habari za no reforms no election walikuwa wanatudanganya, walikuwa hawamaanishi wanachokisema?.
Au hili neno "No Election" wanajifanya hawajui kiswahili chake?
Bora Lissu ni mkweli, yeye anamaanisha
Au hili neno "No Election" wanajifanya hawajui kiswahili chake?
Bora Lissu ni mkweli, yeye anamaanisha