Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Njia aliyokuwa anataka mpiganie ndio ilimuangusha.Naona bado Team Mbowe wanazidi kujikanyaga tu wao wenyewe hata hawajui hiyo 'No reforms no election' ni nini. So sad asee,
===
Salumu Mwalimu ambaye alikuwa ni miongoni mwa waliotangaza kujitoa CHADEMA amefanyiwa mahojiano na Wasafi Tv na kueleza kuwa lengo lwa Mbowe lilikuwa ni kupigania mifumo ili waingie kwenye uchaguzi. Anasema kwa namna yoyote ile wangeingia kwenye uchaguzi lakini siyo kususia.
View attachment 3327556
Ila anakojoa pazuri sana, bonge la jimama😀Salum Mwalimu mkewe ni mbunge wa Covid 19 Esther Matukio 😂
Yaani huyu dogo kumbe alikuwa mweupe kiasi hiki?🤣🤣 Sasa kama hajui no reform no election wakati alikuwa kamati mkuu?Naona bado Team Mbowe wanazidi kujikanyaga tu wao wenyewe hata hawajui hiyo 'No reforms no election' ni nini. So sad asee,
===
Salumu Mwalimu ambaye alikuwa ni miongoni mwa waliotangaza kujitoa CHADEMA amefanyiwa mahojiano na Wasafi Tv na kueleza kuwa lengo lwa Mbowe lilikuwa ni kupigania mifumo ili waingie kwenye uchaguzi. Anasema kwa namna yoyote ile wangeingia kwenye uchaguzi lakini siyo kususia.
View attachment 3327556
Pia soma
Haahaa eti kutishia tuu.HaahaaTukiwaambia Hawa walikuwa madalali mtuelewe. Anasema walikuwa wanatishia tuu lkn wengeingia kwenye uchaguzi! Kweli Mungu hapendi wanafiki. Wanaumbuka mchana kweupe
Kumbe Lissu ni dume. Haya anayoyafanya Lissu leo Mbowe asingeyaweza.Naona bado Team Mbowe wanazidi kujikanyaga tu wao wenyewe hata hawajui hiyo 'No reforms no election' ni nini. So sad asee,
===
Salumu Mwalimu ambaye alikuwa ni miongoni mwa waliotangaza kujitoa CHADEMA amefanyiwa mahojiano na Wasafi Tv na kueleza kuwa lengo lwa Mbowe lilikuwa ni kupigania mifumo ili waingie kwenye uchaguzi. Anasema kwa namna yoyote ile wangeingia kwenye uchaguzi lakini siyo kususia.
View attachment 3327556
Pia soma
Mbowe alizungukwa na vilazaYaani huyu dogo kumbe alikuwa mweupe kiasi hiki?[emoji1787][emoji1787] Sasa kama hajui no reform no election wakati alikuwa kamati mkuu?
Salum mwl na mifumo hii hii...ili iweje?Naona bado Team Mbowe wanazidi kujikanyaga tu wao wenyewe hata hawajui hiyo 'No reforms no election' ni nini. So sad asee,
===
Salumu Mwalimu ambaye alikuwa ni miongoni mwa waliotangaza kujitoa CHADEMA amefanyiwa mahojiano na Wasafi Tv na kueleza kuwa lengo lwa Mbowe lilikuwa ni kupigania mifumo ili waingie kwenye uchaguzi. Anasema kwa namna yoyote ile wangeingia kwenye uchaguzi lakini siyo kususia.
View attachment 3327556
Pia soma
Huwezi kuikomboa nchi kwa aina ya watu kama S.mwalimu tuwe wakweli tu jamani. Mbowe alijaza wasaka Fursa kwenye chama na sio wapigania ukombozi.Naona bado Team Mbowe wanazidi kujikanyaga tu wao wenyewe hata hawajui hiyo 'No reforms no election' ni nini. So sad asee,
===
Salumu Mwalimu ambaye alikuwa ni miongoni mwa waliotangaza kujitoa CHADEMA amefanyiwa mahojiano na Wasafi Tv na kueleza kuwa lengo lwa Mbowe lilikuwa ni kupigania mifumo ili waingie kwenye uchaguzi. Anasema kwa namna yoyote ile wangeingia kwenye uchaguzi lakini siyo kususia.
View attachment 3327556
Pia soma
Aibu kubwa hiiNaona bado Team Mbowe wanazidi kujikanyaga tu wao wenyewe hata hawajui hiyo 'No reforms no election' ni nini. So sad asee,