Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Mifumo hii hii--- 2019-2020-2024-Naona bado Team Mbowe wanazidi kujikanyaga tu wao wenyewe hata hawajui hiyo 'No reforms no election' ni nini. So sad asee,
===
Salumu Mwalimu ambaye alikuwa ni miongoni mwa waliotangaza kujitoa CHADEMA amefanyiwa mahojiano na Wasafi Tv na kueleza kuwa lengo lwa Mbowe lilikuwa ni kupigania mifumo ili waingie kwenye uchaguzi. Anasema kwa namna yoyote ile wangeingia kwenye uchaguzi lakini siyo kususia.
View attachment 3327556
Pia soma
πππYaani huyu dogo kumbe alikuwa mweupe kiasi hiki?π€£π€£ Sasa kama hajui no reform no election wakati alikuwa kamati mkuu?
Simple logic ni kua kwakua uongozi wa mwenyekiti mpyaa UMEKATA MIRIJA YAO YA UPIGAJI NA HAWANA TENA MINOFU.Salum Mwalimu mkewe ni mbunge wa Covid 19 Esther Matukio π
Inamaana salum mwalim mkewe Esther? Acha uongo weye? Kaozeshwa na sheikh ganiSalum Mwalimu mkewe ni mbunge wa Covid 19 Esther Matukio π
Chadema has proved it's political immaturity. You boycott the election then you want people to stand up against CCM knowing that with a political party eligible to participate that power of people to stand against ruling party that desired power of people become of the guarantee. No reform no election policy is as equal of having clean water in ground well but no bucket to catch for home use. Frank speaking: No reform no election agenda is a snap YES- VOTE to CCM ahead of universal vote day. CCM walks on clear path leaving Chadema at deathrow . Ukweli ni huo.Naona bado Team Mbowe wanazidi kujikanyaga tu wao wenyewe hata hawajui hiyo 'No reforms no election' ni nini. So sad asee,
===
Salumu Mwalimu ambaye alikuwa ni miongoni mwa waliotangaza kujitoa CHADEMA amefanyiwa mahojiano na Wasafi Tv na kueleza kuwa lengo lwa Mbowe lilikuwa ni kupigania mifumo ili waingie kwenye uchaguzi. Anasema kwa namna yoyote ile wangeingia kwenye uchaguzi lakini siyo kususia.
View attachment 3327556
Pia soma