Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Njaaduuuu watu wanazidi changanyikiwa
Aende tu alikoahidiwa kutumika, maridhiano gani tena wakati kajienguaAliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zanzibar Salum Mwalimu amesema milango ya maridhiano na uongozi wa chama chake hicho cha zamani iko wazi endapo utakuwa na utayari.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mwalim ni miongoni mwa viongozi kadhaa na makada waandamizi wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania (G-55) ambao wamejiondoa kutokana na kile wanachodai kimekwenda kinyume na matakwa yao ya msingi, na hasa kujitenga na ushiriki wa uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka huu.
Ni nani sasa ajatumwa ChademaHawa walitumwa kukaa chadema kama kitila mkumbo, ni aina hiyo ya wanachama.
Mtu ambaye hana influence yoyote ni kuachana nae tu, hamna haja ya kumpa airtime.Kuridhiana kuhusu nini? Kuridhiana uwe mwanachama au kupata nusu mkate?
hahaha, kama mnyika angekuwa nyoka hasingekubali mbowe ashindwe weee. Mnataka kuwakosanisha myika na mwenyekiti siyo.Ni nani sasa ajatumwa Chadema
Subiri uone utabaki kushangaa
Mnyika nyoka yule wa Muda tu
Chadema kinajadiliwa kwenye mabunge Duniani na sasa USA ninyi na Chama chenu cha Interahamwe ambacho sasa hivi kinashambulia Viongozi wa dini kinaua wanaharakati kinapoteza Wapinzani.Waunae tu mbwa hawa
Chadema ni takataka