Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Daah jamaa anahangaika utadhani fundi wa engine ya 1HZ na imesumbua Pump.
Hapana, Wazanzibar huwa na misimamo sana tofauti na Watanganyika. Ameona ni aibu kutangatanga. Akipewa kitengo anatuliaAnaogopa kuonekana kanunulika? Aridhiane na nani sasa ndani ya chama alichokikimbia? Si mwenye chama ni mhaini?
Salum we liked you but it will never be the same againAliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zanzibar Salum Mwalimu amesema milango ya maridhiano na uongozi wa chama chake hicho cha zamani iko wazi endapo utakuwa na utayari.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mwalim ni miongoni mwa viongozi kadhaa na makada waandamizi wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania (G-55) ambao wamejiondoa kutokana na kile wanachodai kimekwenda kinyume na matakwa yao ya msingi, na hasa kujitenga na ushiriki wa uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka huu.
Ccm ni laana ya taifaWaunae tu mbwa hawa
Chadema ni takataka
Ndiyo maana CHIEF PRIEST anakuita *****. Kwa majibu haya nimeamini hakuna mwanaume hapo, bali ni Aunt G.A.MassaweWaunae tu mbwa hawa
Chadema ni takataka
Calm down man, take it easy, yaani ulivyo na uchungu na CHADEMA hadi unakosea kuandika. Pole mkuu. CHADEMA BADO ipo sana, wengi walioichukia waliondoka lakini CDM bado ipo sana.Waunae tu mbwa hawa
Chadema ni takataka
Juzi aliongea sana hadi kupitiliza nafikiri amejisikiliza mwenyewe hadi anajichukia sasa anaomba maridhiano, ni kichekesho cha mwaka hiki. Aende tu huko alikoahidiwa asali na maziwa sisi hatumdai kitu hayo ndiyo maisha aliyoyachagua mwenyewe,Salum we liked you but it will never be the same again
Hawa walitumwa kukaa chadema kama kitila mkumbo, ni aina hiyo ya wanachama.
[/QUOTEni mamluki. Misheni zao zimeshindwa
hayo majeraha ni wao ndio wanayasikia. Timu lissu iliyoshinda haikuona kama kuna majeraha, timu mbowe ndio walipaswa kuvunja timu yao na kuungana na wenzao kujenga upya chama chao ila wao wakaendeleza upinzani ndani ya chama chao hatimaye wakaondoka na kuelekea kusikojulikana. Tena wameondoka kijeuri huku wakikikandia chama chaoKinachosikitisha zaidi ni kuwa watu wanaingiza udini katika kumbeza. Pathetic creatures.
Amandla...
Umenitukana, ukanipiga lakini bado unataka nije nikuombe msamaha! Hawa hawakuficha kutoridhika kwao kwa muelekeo wa CDM na namna wanavyotendewa na viongozi wao. Kuandikia chama sio dhambi maana ni namna inayo kubalika ya kuhakikisha kuwa ujumbe unaotoa unafika kunakotakiwa kama ulivyokusudia. Wanasema ulikuwa waraka wa siri lakini chama chao kikauvujisha.hayo majeraha ni wao ndio wanayasikia. Timu lissu iliyoshinda haikuona kama kuna majeraha, timu mbowe ndio walipaswa kuvunja timu yao na kuungana na wenzao kujenga upya chama chao ila wao wakaendeleza upinzani ndani ya chama chao hatimaye wakaondoka na kuelekea kusikojulikana. Tena wameondoka kijeuri huku wakikikandia chama chao
Fauziat AboodWho is this Mwalimu?