Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Most likely.....yametibukaUmeona eeh!? Kwahiyo, kulikuwa na makubaliano ya kifisadi baina ya ccm na wao kwenye uchaguzi wa mwaka huu, ambaye ndiyo yanawatesa hadi leo
Most likely.....yametibukaUmeona eeh!? Kwahiyo, kulikuwa na makubaliano ya kifisadi baina ya ccm na wao kwenye uchaguzi wa mwaka huu, ambaye ndiyo yanawatesa hadi leo
Yeah! Bila shaka yametibuka au wanataka kutafuta mbinu mbadala.Most likely.....yametibuka
Maridhiano yapi huku mkeo mwenyewe ni covid 19?Aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zanzibar Salum Mwalimu amesema milango ya maridhiano na uongozi wa chama chake hicho cha zamani iko wazi endapo utakuwa na utayari.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mwalim ni miongoni mwa viongozi kadhaa na makada waandamizi wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania (G-55) ambao wamejiondoa kutokana na kile wanachodai kimekwenda kinyume na matakwa yao ya msingi, na hasa kujitenga na ushiriki wa uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka huu.
😹😹😹 Hamna kitumwalimu ni jockery cdm wamejichanganya kuipoteza
Poor You!Ni nani sasa ajatumwa Chadema
Subiri uone utabaki kushangaa
Mnyika nyoka yule wa Muda tu
👉🌈🤫Waunae tu mbwa hawa
Chadema ni takataka
Anataka maridhiano gani wakati ameshahama? Huyu ubongo wake utakuwa umetikisika kidogo.Anaogopa kuonekana kanunulika? Aridhiane na nani sasa ndani ya chama alichokikimbia? Si mwenye chama ni mhaini?
Sawa kundu la james D