PreGE2025 Salum Mwalimu: Milango ya Maridhiano na CHADEMA ipo wazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zanzibar Salum Mwalimu amesema milango ya maridhiano na uongozi wa chama chake hicho cha zamani iko wazi endapo utakuwa na utayari.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mwalim ni miongoni mwa viongozi kadhaa na makada waandamizi wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania (G-55) ambao wamejiondoa kutokana na kile wanachodai kimekwenda kinyume na matakwa yao ya msingi, na hasa kujitenga na ushiriki wa uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka huu.

Huyu anapotosha tu waliitwa wakawa wanasema wanahitaji kupumzika...
 
Umenitukana, ukanipiga lakini bado unataka nije nikuombe msamaha! Hawa hawakuficha kutoridhika kwao kwa muelekeo wa CDM na namna wanavyotendewa na viongozi wao. Kuandikia chama sio dhambi maana ni namna inayo kubalika ya kuhakikisha kuwa ujumbe unaotoa unafika kunakotakiwa kama ulivyokusudia. Wanasema ulikuwa waraka wa siri lakini chama chao kikauvujisha.

Mimi naona kwa sababu wamesema kwa uwazi sababu zilizowafanya watoke CDM wangeachiwa tu waendelee na shughuli zao. Kuendelea kujibizana nao na kuwakashifu kunalipa uhai suala hili ambalo halina tija kwa CDM.

Amandla...
Umeona CHADEMA officially wakijibizana nanyi!!??
 
Kutakucha tuu na mwanga ataonekana.
Na wala sio siku nyingi zijazo.
Amandla...
huu mtazamo ndio inatakiwa mtazamwe nyie mliokuwa mna nguvu ndani ya chadema ila kundi lenu likaishia kuangukia pua na sasa mmejitoa huku mkitaka mhurumiwe, kwendeni zenu, kafilieni mbele, hamna haya
 
Sawa. Kama ni hivyo, kwa nini mnaendelea kuwaanda.a G55? Chama sasa ni chenu kelele na matusi yote ya nini? Aliyesimamia haki atajulikana tu hivi karibuni.

Amandla...
 
Aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zanzibar Salum Mwalimu amesema milango ya maridhiano na uongozi wa chama chake hicho cha zamani iko wazi endapo utakuwa na utayari.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mwalim ni miongoni mwa viongozi kadhaa na makada waandamizi wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania (G-55) ambao wamejiondoa kutokana na kile wanachodai kimekwenda kinyume na matakwa yao ya msingi, na hasa kujitenga na ushiriki wa uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka huu.

Anafunga mlango anafungua mwingine tena😀😀

Hii imenikumbusha Msanii Nguri wa Reggae

Lucky Philip Dube alisema

" Don't close the Door behind you, might need it sometimes ahead"
 
Umeona eeh! Kwahiyo Salum Mwalimu wala asitambe. Hata huyo Mrema alibebwa tu Mbowe, maana hata ongea yake utadhani kaingia mjini jana akitokea Rombo-Mashati au Rombo -Tarakea.
Bado nashangaa inakuwaje Secretariet yote iwe kitu kimoja kupinga maamuzi ya chama, is it normal?
 
Binafsi nilitegemea wao wangekuwa mstari wa mbele kukubaliana na No reforms no election kwa kuwa ni msimamo wa chama sio kuamua kushukia njiani.Kwani wakati wa uongozi wao kila kitu ambacho walifanya kilikuwa kinakubaliwa na wote!? Jibu ni hapana
Hawa wanajistukia tu maana waliamini Lissu hatashinda maajabu akashinda
 
Hapa hivyo no reform no election ina mashiko hata mjinga anaelewa umuhimu wake. Why wao? Wana nini nyuma yao?
 
Kuridhiana kuhusu nini? Kuridhiana uwe mwanachama au kupata nusu mkate?
Mkuu wana siasa % 99 wanategemea Uongozi wa KiSiasa ili wapate pesa na kujikimu wao na familia zao, shida inakuja pale Kiongozi mpya akija na akichagua watu wake wapya na kuwaacha viongozi waliokuwepo na Kiogozi alioondoka madarakani lazima kutatokea mvulugano na kuchanganyikiwa kwa Viongozi walioondolewa kwenye nafasi zao.
 
Hawana Plan B kwenye maisha yao
 
Aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zanzibar Salum Mwalimu amesema milango ya maridhiano na uongozi wa chama chake hicho cha zamani iko wazi endapo utakuwa na utayari.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mwalim ni miongoni mwa viongozi kadhaa na makada waandamizi wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania (G-55) ambao wamejiondoa kutokana na kile wanachodai kimekwenda kinyume na matakwa yao ya msingi, na hasa kujitenga na ushiriki wa uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka huu.

Aendelee na majukumu Mapya ss ni No reforms no election na yy amehongwa ili kuturudisha nyuma na amewatangazia watanzania kwamba ameondoka CHADEMA,sasa hiyo nafasi hakuiona alipokuwa ndani ya chama,yaani bwege ni bwege na kilaza anabaki kuwa kilaza kama Salum Mwalimu.
 
Back
Top Bottom