PreGE2025 Salum Mwalimu: Milango ya Maridhiano na CHADEMA ipo wazi

PreGE2025 Salum Mwalimu: Milango ya Maridhiano na CHADEMA ipo wazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Daaa poleni tu Makamanda wote hofu siku nikisikia na Mnyika katoka kitakachofuata ni makao makuu ya Chedema kugeuzwa makao makuu ya chama B sioni kizuizi kwa ilo kutokea !!!

picha lileee CAF na ACT ndio ipo Chedema tuwe wapole kipindi ichi ya Mabadiliko ya jina la Chama.
CAF au CUF?
 
Wengi wanakimbilia matusi wakati hata hawajasikiliza alichosema. Alikuwa anajibu swali na alichosema ndicho wanachosema kila siku. Kuwa kuna majeraha yaliyotokana na uchaguzi na hamna jitihada iliyofanyika kuyaponya. Badala yake, wamekuwa wakibezwa kila wanapo toa ushauri.

Katika hali kama hiyo, mtu yeyote anaejiheshimu atajitenga. Na mtu mwenye busara hatasema kuwa huo ni uamuzi wa mwisho maana sio uamuzi waliopenda kufikia. Kila mmoja wao anaongea kwa masikitiko maana bado wanakipenda chama chao cha zamani. Hiyo sio dhambi.

Amandla...
Akwendeee abaki kufanya nini tena hawezi kuendana na speed ya chama
 
Aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zanzibar Salum Mwalimu amesema milango ya maridhiano na uongozi wa chama chake hicho cha zamani iko wazi endapo utakuwa na utayari.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mwalim ni miongoni mwa viongozi kadhaa na makada waandamizi wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania (G-55) ambao wamejiondoa kutokana na kile wanachodai kimekwenda kinyume na matakwa yao ya msingi, na hasa kujitenga na ushiriki wa uchaguzi wa mwezi Oktoba mwaka huu.

Salum Mwalim anaijuwa kaz na uwenda ameimaliza anarud mapumziko kuna jambo ningeliandika ila kwa heshima ya mamlaka na kiapo cha siri kwa Taifa langu nafunga mdomo. Mtanzania popote alipo ni kasisi wa siri wa Taifa lake nafunga mdomo mimi.
 
Yeye anataka maridhiano yapi wakati Agenda ya CDM ni No reform No election?
 
Umenitukana, ukanipiga lakini bado unataka nije nikuombe msamaha! Hawa hawakuficha kutoridhika kwao kwa muelekeo wa CDM na namna wanavyotendewa na viongozi wao. Kuandikia chama sio dhambi maana ni namna inayo kubalika ya kuhakikisha kuwa ujumbe unaotoa unafika kunakotakiwa kama ulivyokusudia. Wanasema ulikuwa waraka wa siri lakini chama chao kikauvujisha.

Mimi naona kwa sababu wamesema kwa uwazi sababu zilizowafanya watoke CDM wangeachiwa tu waendelee na shughuli zao. Kuendelea kujibizana nao na kuwakashifu kunalipa uhai suala hili ambalo halina tija kwa CDM.

Amandla...
ule ndio ulikuwa upande wenye nguvu ndio maana hakuna anayewajali, tena wanasindikizwa kwa kejeli na kashfa nyingi wapotelee mbali huko waendapo
 
ule ndio ulikuwa upande wenye nguvu ndio maana hakuna anayewajali, tena wanasindikizwa kwa kejeli na kashfa nyingi wapotelee mbali huko waendapo
Genge la wanyang'anyi wa kuaminiwa
 
Back
Top Bottom