PreGE2025 Salum Mwalimu: Milango ya Maridhiano na CHADEMA ipo wazi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Maridhiano yapi huku mkeo mwenyewe ni covid 19?
 
Anaogopa kuonekana kanunulika? Aridhiane na nani sasa ndani ya chama alichokikimbia? Si mwenye chama ni mhaini?
Anataka maridhiano gani wakati ameshahama? Huyu ubongo wake utakuwa umetikisika kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…