kasulavenance
JF-Expert Member
- Jan 23, 2020
- 759
- 914
Ccm inapokea bil 1.3 kama ruzuku kutoka serikalini kwa mwezi kwa miaka mitano? Ni zaidi ya bil 60 hapa hujaweka mchango hata wa sh mia ya mwanachama wala mapato ya ndani ... kiufupi hawana sababu ya kuchota hela wanayo ya kutosha kampeni za miezi mitatu
ina uhusiano gani na taasisi za umma kutumia pesa za walipa kodi kulazimisha CCM ipendweDalili ya chadema kuishiwa!
Ha ha ha aaa! Hapa JF ni sehemu yangu murua ya kujifunza. Hivyo, kamwe hapa JF hapatakuwa sehemu ya kuniumiza asilani ! Tuendelee na mjadala mkuu.....hayajakuumiza kama siku nyingine....
Shikeni adabu yenu nyie na muache kuzua uongo. Mnachoandaa wala hamfanikiwi. Ndio maana mabeberu wakuu wanatutolea azimio. Mtashindwa tu wala hakuna atakayeweza kuwaweka madarakani kwa hila au kuleta vurugu kwa sababu ya umoja wa watanzania nyuma ya chama chao cha mapinduzi.“Tumepata taarifa kwamba zipo Taasisi za Umma zinaratibu na kugharamia Kampeni za Mgombea wa CCM Ndugu Magufuli, tunakamilisha uchunguzi na ushahidi tutaweka hadharani”. @salummwalimtz Viwanja vya Mnadani Igunga,Tabora.
CCM watatawala mpaka mwisho wa dahali kwa hizo akili za hao watu.Ukisoma michango ya watu kwenye hii mada lazima uamini kuna watu wanalipwa ili tu kujibu ujinga.
Kama alijuo hajakamilisha uchunguzi kwa nini amekurupuka?Una tofauti gani na huyo unayemuita mropokaji? Amekwambia akikamilisha kukusanya ushahidi ataleta. Kabla hajakamilisha UMESHAROPOKA kuwa ameropoka!!!!!!!
Hahahahaha......hata kichaa huwa hajijui kama yeye ni kichaa!!
Ukiona hapa bado ina trend ujue ni kweli.....ni hilo tuHuna ushahidi unaropoka? Pumbavu!!!
% true“Tumepata taarifa kwamba zipo Taasisi za Umma zinaratibu na kugharamia Kampeni za Mgombea wa CCM Ndugu Magufuli, tunakamilisha uchunguzi na ushahidi tutaweka hadharani”. @salummwalimtz Viwanja vya Mnadani Igunga,Tabora.
Ccm inapokea bil 1.3 kama ruzuku kutoka serikalini kwa mwezi kwa miaka mitano? Ni zaidi ya bil 60 hapa hujaweka mchango hata wa sh mia ya mwanachama wala mapato ya ndani ... kiufupi hawana sababu ya kuchota hela wanayo ya kutosha kampeni za miezi mitatu
Tukumbuke tu Marehemu Mzee Mkapa kwenye kitabu chake alisema 2005 walichota mamilioni BoT (EPA).Ccm inapokea bil 1.3 kama ruzuku kutoka serikalini kwa mwezi kwa miaka mitano? Ni zaidi ya bil 60 hapa hujaweka mchango hata wa sh mia ya mwanachama wala mapato ya ndani ... kiufupi hawana sababu ya kuchota hela wanayo ya kutosha kampeni za miezi mitatu
Maskini huyu naye amenyoosha kidole tumuone alipo! Mbowe ana akili sana yupo zake na mhasibu wa chama na afisa ugavi wanarekebisha mahesabu ya matumizi ya kampeni!
Sijaona kama nimekubishia kitu kwani mkapa aliandika kitabu mwisho mwaka gani mana mimi nazungumzia 2015 kuja 2020..Hayo maneno yamendikwa na Mkapa katika kitabu chake. Kama wewe ni mbishi, nenda Lupaso ukabishane naye. Ushabiki mwingine ni upumbavu. Sasa wewe ni nani mpaka ubishane na Mkapa kuhusu CCM?
Habari za mkapa hazizungumzii mwaka 2015 -2020 ... hata hivyo si pingi mana uhujumu upo hata CHADEMA ruzuku inatumiwa ndivyo sivyo na mwenyekiti na genge lake ... in fact “ The beautiful ones are not yet born “Tukumbuke tu Marehemu Mzee Mkapa kwenye kitabu chake alisema 2005 walichota mamilioni BoT (EPA).
Hela ya ESCROW hatujui ki ukweli imeishia wapi? Tunajua tu ilichotwa na kuna viashiria kuna kiasi kilielekezwa ikulu (mwaka wa uchaguzi).
Tunajua pia kuna mashirika hela zao hazikaguliwi na manunuzi mengine wanajua wakubwa tu ni sirikali.
Tuombe tu ya Mwalimu yasiwe kweli, lakini kwa historia ya chama chetu tawala hakuna lisilo wezekana.
NI KWELI KABISA.Ukisoma michango ya watu kwenye hii mada lazima uamini kuna watu wanalipwa ili tu kujibu ujinga.
Itakuwa ulikuwa ukishika mkia darasani kama ameshindwa kuelewa jambo dogo kama hili.Huna ushahidi unaropoka?