Mbona miaka your wanachukua?Atakae chukua fomu ya mwenyekiti mkuu nimekaa paleπ π π
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Angeweka angalizo kuwa form ya mwenyekiti na makamu hazipatikani
Wewe ndio mjuaji. Tangu lini Mbowe, mtei na Makani wakawa ukoo mmoja.Acha ujuaji wenyeviti wa CDM tangu mwanzo ni ukoo mmoja ,Kam si mwanaukoo huwezi pata uwenyekiti hata uhonge
We mambo ya Chadema mbo a unayashadadia sana?Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA Salumu Mwalimu amewataka Wanachama wa CHADEMA wenye Uwezo, Nia na Karama ya Uongozi asisite kuchukua Fomu na kugombea Nafasi yoyote.
Mwalimu alikuwa anaendesha Seminar ya Chama huko Pemba.
Kumekucha!
Cha kushangaza, wanaotaka Mbowe ANG'ATUKE, ni wale ambao hawapo, wala si mashabiki/wapenzi wa CHADEMA!Ikiwa Mbowe atang'ang'ania this time basi....tutajua
Chadema ni mali ya Umma Manka!We mambo ya Chadema mbo a unayashadadia sana?
Nilikuwa sijui! Kumbe BOB NYANGA MAKANI naye ni MWANAUKOO?Acha ujuaji wenyeviti wa CDM tangu mwanzo ni ukoo mmoja ,Kam si mwanaukoo huwezi pata uwenyekiti hata uhonge
πππChadema ni mali ya Umma Manka!
Naamini hivyo, fomu ya Mwenyekiti haipo kabisa, hata ikiwepo hakuna wa kuchukua.. Muulizeni Zitto, Sumaye wana majibu.
Zitto angefaa kwa Sasa ila kwa Sumaye no. Huwezi kutoka CCM direct na kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ingekuwa ujinga wa Hali ya juu.
Watu mna vitukoπππAngeweka angalizo kuwa form ya mwenyekiti na makamu hazipatikani