Salum Mwalimu: Uchaguzi ndani ya Chama umekaribia kila mtu mwenye Uwezo achukue fomu kugombea Nafasi yoyote

Salum Mwalimu: Uchaguzi ndani ya Chama umekaribia kila mtu mwenye Uwezo achukue fomu kugombea Nafasi yoyote

Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA Salumu Mwalimu amewataka Wanachama wa CHADEMA wenye Uwezo, Nia na Karama ya Uongozi asisite kuchukua Fomu na kugombea Nafasi yoyote.

Mwalimu alikuwa anaendesha Seminar ya Chama huko Pemba.

Kumekucha!
We mambo ya Chadema mbo a unayashadadia sana?
 
Nami nagombea hapa Runzewe 2025 ama zangu ama za Biteko
 
Naamini hivyo, fomu ya Mwenyekiti haipo kabisa, hata ikiwepo hakuna wa kuchukua.. Muulizeni Zitto, Sumaye wana majibu.

Zitto angefaa kwa Sasa ila kwa Sumaye no. Huwezi kutoka CCM direct na kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ingekuwa ujinga wa Hali ya juu.
 
Zitto angefaa kwa Sasa ila kwa Sumaye no. Huwezi kutoka CCM direct na kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ingekuwa ujinga wa Hali ya juu.

Ila kweli, utoke CCM direct alafu uwe Mwenyekiti Chadema, mimi ni CCM, hilo sio sawa.
 
Back
Top Bottom